Adha kubwa tuipatayo abiria tunaosafiri na mabasi ya mikoani

Ww ushakua addicted pale ..hilo pepo la kutamani msiba ujirudie ikutoke in Jesus name[emoji38].Ila kiukweli safari za kaskazini dar nafurahia sana kwaajili ya madiko diko pale.
 
Safari ya DAR - MTWARA pale Nangulungulu huwa wanauza samaki wa kukaanga lakini wengi huwa wameharibika. Nilikula pale mwaka 2013 niliharisha siku mbili mfululizo. Nilishakoma kula samaki kwenye kituo hicho.
 
Basi kuwe na vituo viwili vya kusimama kula chakula cha mchana, sehemu za hadhi ya kawaida/ mchanganyiko na zile za juu kama unazopenda.
Dah.. Sijui nikwambie nini Mkuu, wazo lako zuri ila halitekelezeki, wenye hela nao wakisema "bus zinasimama kula sehemu local sana tunataka sehemu zenye chakula kisafi kisichodhuru tumbo" ITAKUAJE?

Then next time weka paragraph.
 
Basi kuwe na vituo viwili vya kusimama kula chakula cha mchana, sehemu za hadhi ya kawaida/ mchanganyiko na zile za juu kama unazopenda.
Sio ninazopenda Mimi, Mimi ni mtu tu, issue ni kwamba kwenye mambo ya public ni ngumu kumridhisha kila mtu, uweke vituo viwili vya kula safarini? Hayo yatakua maskhara Mkuu.
 
Sasa wasafiri maskini watasaidiwaje?
Sio ninazopenda Mimi, Mimi ni mtu tu, issue ni kwamba kwenye mambo ya public ni ngumu kumridhisha kila mtu, uweke vituo viwili vya kula safarini? Hayo yatakua maskhara Mkuu.
 
Ww ushakua addicted pale ..hilo pepo la kutamani msiba ujirudie ikutoke in Jesus name[emoji38].Ila kiukweli safari za kaskazini dar nafurahia sana kwaajili ya madiko diko pale.
[emoji23][emoji23] yaani. Sijui kwann inakua hv. Mkiwa pale raha sana. Halafu wamama zetu ndo wananifurahisha sana[emoji23]. Maana wamama walikaa na mabinti zao. Ikifika mahali kuna supermarket dere anaambiwa chomeka hapo tukanunue dawa. Wanaingia wananunua katon zao za windhoek bana ndo dawa. Sinywi ila naenjoy mbaya. Yaan mnasahau machungu ya msiba kbs. Mkifika hotelin sasa ndo kabisaaaa.... tunamtaja marehemu huku tukimsihi afike salama kwenye hiyo safari yake ya milele sisi tunamsherehekea bana[emoji23][emoji23]

Ule msiba wa Procorine Shayo wa tabata aliyejigongesha akafa uliona mambo yale? Unapata wapi muda wa kulia[emoji23][emoji23] kuna clio ilitembea sana mitandaoni watu wakijua ni christmas moshi kumbe msiba wa huyo jamaa yetu.
 
Hilo nalo neno kulishwa vyakula vya jana kwa bei kubwa, ukisafiri na familia inabidi uandae elf 5 tano ya KILA usafirie nae.
 
Nliona asee,Ila kwa sisi wachaga hiyo ni kawaida msiba kugeuka shereh hata mm siwezi safiri nipite pale rock hill bila kuweka vyombo kichwa ndio niendelee na safari
 
Kwani umelazimishwa kula ukiwa safarini?usituletee mambo ya kishamba hapa
 
Utaratibu ulikuwa basi kuingia stendi kwenye mji ambapo abiria watachagua mojawapo ya hotel zilizopo karibu kupata huduma ya chakula. Huu utaratibu wa kuingia kwenye hotel iliyojengwa porini naona ni utaratibu mpya ambao mamlaka itabidi ziukemee...
Dk5 kila mtu akatafute sehemu ya Bei anayomudu inawezekanaje?
 
Safari ya DAR - MTWARA pale Nangulungulu huwa wanauza samaki wa kukaanga lakini wengi huwa wameharibika. Nilikula pale mwaka 2013 niliharisha siku mbili mfululizo. Nilishakoma kula samaki kwenye kituo hicho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nangurukuru pale Pa hovyo tyuuuh. Vyakula vya juzi wanauza leo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nangurukuru pale Pa hovyo tyuuuh. Vyakula vya juzi wanauza leo.
Aisee pale nangurukuru ni noma sana kuna jamaa mmoja alikuwa anaenda mtwara kwenye interview sasa akapita hapo ili ajipatie samaki wa kusogeza siku aisee huwez amini yule jamaa baada ya kufika huko mtwara aliumwa sana alikuwa anaendesha usiku kucha ata Iyo interview aikufanyika tena so tuwe makini ya mavyakura aya kama unaweza chukua kuku wako mkaange na vichipsi ule wakat wa safar la sivyo watu watalalama sana
 
Kabisaa yaan.
 
Wakati unaondoka beba maji na biscut nzuri hazina gas au apple zako 3 achana naooo hizo ni businsess
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…