Adhabu ya kifo kwa kuchinjwa mbele ya kadamnasi (Tahadhari: maelezo, picha na video za ukatili)

Status
Not open for further replies.
Huyu jamaa umeamua tu kuyokuelewa na kuamini alichokaririshwa na akina Mazinde, wako hivyo, sasa alitakiwa atofautishe maelezo ayapokeayo manzese kwenye mihadhara ya "takbiriiii" na humu. Watu hatuziamini hizi eti kwakuwa wazazi wamesema, tumechimba na kujiridhisha. Na kwetu hizi imani si uislamu na ukristu tu, tunaitafuta kweli popote hadi kwa mabudha huko.
 
Siyo kweli. Haikuwa kwa mfano....acheni mahaba.
 
Yesu katika mstari huo wa 27 baada ya kumaliza kusema hayo akaelekea Yerusalem. Unajua huko Yerusalem alikwenda kufanya nini?
 
Mim siku zote nabaki na maswali... Hivi kama Mungu ameshaweka wanaotenda zambi watapata adhabu ya moto.. Na wale wema watakwenda paradise...

Sasa inakuwaje ameweka mawakala hapa duniani wa kutekeleza hukumu za kijinga kabisa...
Na kama huyo Mungu angekuwa ni wa hukumu hizo, ameshindwa nini kumchinja shetani hata kabla ya bila zake kusambaa? Kwanini atuachie sisi dhambi ya kuua wahalifu wakati yeye hakuwafanyia hivyo? Mungu kumjua yataka bidii sana, wengi wanapotea kwa kukosa tu maarifa.
 
Acha kukimbia andiko wewe.
 
Ubinadamu ni upi? Ni kumwacha muuaji atambe mitaani?
Na msagaji je... Anastahili kufa kifo hicho??? Anaetoka kwenye uislamu anapaswa kufa kifo hicho?? Anaebudu Mungu asiyekuwa Allah.. Anastahili kufa pia.

Ndio maana tukasema haya mambo yana contradiction... Kuna aya zinazungumia adhabu ya moto kwa walw waovu wote.. Sasa kama mnawahukumu duniani sasa huko mbele ya haki kwa ajili gani???

Unatumia mambo ya kufikirika kutoa hukumu kwa watu kwa kudai Mungu kasema, ulikuwepo????
Unaweza kuthibitisha Mungu alisema???
 
Siyo kwamba aelewi ukweli ila tatizo lake ni upofu na ugumu wa moyo wake.
Shetani anamuendesha ndiyo maana nuru haioni.
 
Ndio ujiulize sasa maana shetani mwenyewe ni rafiki wa roho mtakatifu....
Roho mtakatifu alishirikiana na Ibilisi kule nyikani kumjaribu Yesu. Sasa utajiuliza roho mtakatifu alipompeleka Yesu akajaribiwe na Ibilisi wakati Ibilisi akimjaribu Yesu yeye roho mtakatifu alikuwa pembeni anaangalia au alimtelekeza huko? Kuna uhusiano gani kati ya roho mtakatifu na ibilisi?
 
Sijapotea ila wewe unaleta uhuni badala kujibu, ata sisi tunaujua uhuni kama you want it that way. So be it!
Basi biblia ndio ina uhuni maana mimi nime quote maandiko kutoka kwenye biblia. Ila watu wanakataa mfano upanga ulioletwa na Yesu wanasema si upanga....na Yesu aliamuru watu wanaompinga wachinjwe mbele yake watu wanakataa. Basi kumbe biblia ina uhuni maana imeandika maandiko lakini kumbe hainaanishi hivyo!!! Ni uhuni mkubwa sana.....
 
Imekuingia nilipomtaja Allah na Muhammad??
Kumbe!!! Afadhali umekubali kwamba Yesu atawachinja Muhammad na Allah!!! Kumbe mlikuwa mnakataa nini sasa....si umeona kumbe YESU naye ni chinja-chinja....kwa mujibu wa maelezo yako.
 
Mungu wa Biblia hakuficha kitu ndiyo maana kila jambo lipo, mpaka uhuni wa Allah na Muhammad upo umeandikwa ili tujue mbinu zao za upinga Kristo.
 
Kumbe!!! Afadhali umekubali kwamba Yesu atawachinja Muhammad na Allah!!! Kumbe mlikuwa mnakataa nini sasa....si umeona kumbe YESU naye ni chinja-chinja....kwa mujibu wa maelezo yako.
Yesu atawaukumu allah shetani na kibaraka wake Muhammad kama kwa kupigwa viboko mpaka kufa au kuchinjwa au kuunguzwa moto sisi siyo kazi yetu kujua.
It will be pay back time!!
 
Kwani tusi unavyojua wewe ni nini? Unapowaambia wenzako wanaongozwa na shetani we unaona ni neno zuri?

Halafu hata Yesu hakujiita Mungu ila leo kuna watu wanamuita Mungu,unafikiri yatakuwa mafundisho ya nani hayo kama sio shetani?
Labda ile dini inayosema kuna majini mazuri na mabaya na yanaswali pamoja.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…