Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sawa sawa sio mbaya ni ubunifu piaHiyo ni AI Ambayo kaamua kuchanganya na ubunifu wake kuleta graphics bora.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawa sio mbaya ni ubunifu piaHiyo ni AI Ambayo kaamua kuchanganya na ubunifu wake kuleta graphics bora.
Kuna kitu kina itwa franchising, una ufahamu nacho!?Wazo zuri sana hili ila linahitaji msuli
Hapana mkuu nielewesheKuna kitu kina itwa franchising, una ufahamu nacho!?
Franchising kwa upande wa biashara, ni makubaliano au kibali Cha kutumia jina, logo au brand ya kampuni.Hapana mkuu nieleweshe
Ooh umenielewesha ..eeh nadhani kuna kitu unataka kunishirikishaFranchising kwa upande wa biashara, ni makubaliano au kibali Cha kutumia jina, logo au brand ya kampuni.
Ili kuweza ku endesha shughuli fulani, mfano kfc ya marekani, ili anzishwa Tanzania.
Sasa hapo una pata haki kutoka kampuni fulani.Ooh umenielewesha ..eeh nadhani kuna kitu unataka kunishirikisha
Ngoja kwanza nitulie Mkuu maana nauguza mzee wangu hapo JKCI kiasi kwamba sijatulia kbs nimesimamisha mishe zoteSasa hapo una pata haki kutoka kampuni fulani.
Kisha una tambulisha bidhaa mpya kupitia jina lao.
Kwakuwa wao ni wakongwe, una kuwa una wagaia ki percentage.
Nina wazo la bidhaa nyingi, na zita fanya vizuri Sana sokoni. Tresor Mandala
Pole sana mkubwa, Natumai mzee ata rejea hali ya kawaida.Ngoja kwanza nitulie Mkuu maana nauguza mzee wangu hapo JKCI kiasi kwamba sijatulia kbs nimesimamisha mishe zote
Ahsante Mkuu.. Tunaomba Mungu iwe hivyoPole sana mkubwa, Natumai mzee ata rejea hali ya kawaida.
ila sisi Ngozi nyeusi ili tutoboe Ina tupasa tufikirie na kutenda Mara 10 ya wahindi na waarabu wa hapa bongo.
Hats off to them, Wana tutwanga kwenye elimu mpaka ujuzi was vitu.
Yap wabongo baadhi wana roho kavu Sana, labda pombe na anasa tu.Ahsante Mkuu.. Tunaomba Mungu iwe hivyo
Wabongo kusapotiana ni ngumu tena ngumu haswa ..ni wachache sana anaeza kukuelewa na kukusapoti mie ni muhanga wa hayo ila kwakua ni mpambanaji najua tu zitaingia zakutosha muhimu uwe tayari na kitu
Ila mie niwe mkweli nina kitu ambacho ndio nataka kufanya ila target ni kubwa ila sio hapa ila nitaianzia hapa km njia ya kufika huko
Fursa hakupi tena bandarini kuna fursa nyingi sana hasa ktk kampuni za Forward and ClearingYap wabongo baadhi wana roho kavu Sana, labda pombe na anasa tu.
Nina broo yupo bandarini, Ila muulize kuhusu Fursa.
Ata kwambia story nyingine kabisa,
Vipi unaeza Nipa mfano wa hicho kitu mkubwa, lakini pia kingine wenzetu wana wekeza katika vijana hii Ina saidia Sana.
Endeleeni tunawafuatilia........ 😂😂😂😂Yap wabongo baadhi wana roho kavu Sana, labda pombe na anasa tu.
Nina broo yupo bandarini, Ila muulize kuhusu Fursa.
Ata kwambia story nyingine kabisa,
Vipi unaeza Nipa mfano wa hicho kitu mkubwa, lakini pia kingine wenzetu wana wekeza katika vijana hii Ina saidia Sana.
Hahaha, sawa mkuu.Endeleeni tunawafuatilia........ 😂😂😂😂
Yaan msidhani mpo peke yenu, tunajifunza sanaaaa
Utasikia mdogo Mambo mengi, ila uliza kuhusu labda vitu vinavyo pigwa mnada kwa bei kitonga.Fursa hakupi tena bandarini kuna fursa nyingi sana hasa ktk kampuni za Forward and Clearing
Hahahahaha..mbongo anataka mkae bar ili kesho akienda job wewe ubaki kitaani umsifie 😄
Hilo jambo kwa sasa bado mapema kumwambia mtu
Hahahahaha ni sawa usemayo kwa wabongoUtasikia mdogo Mambo mengi, ila uliza kuhusu labda vitu vinavyo pigwa mnada kwa bei kitonga.
Utasikia Huku Kuna wenyewe ka sisi, we subiri nita kushitua- hahaha.
Halafu hata sinywagi Wala kuvuta, ni sawa mkuu naheshimu maamuzi.
Habari za asubui mkubwaHahahahaha ni sawa usemayo kwa wabongo
Salama kabisaHabari za asubui mkubwa
Tuko wengi sana nadhani maana hata mimi nimo.Hivi hizi picha ni mm tu ndiyo zinanigomea kufunguka au tuko wengi
Jini limetoka limetoka lakini mganga hoiHapa alindika Jini limetoka lkn mganga hoi. 😀