Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu akizungumza na Wasafi TV amesema demokrasia yetu nchini, mgombea pekee hatoshi kujipanga kushinda ubunge, bali dola ndio inaamua nani atangazwe mshindi.
Kuanzia 2015 ndio hali ilizidi kuwa mbaya zaidi, MFUMO WA UCHAGUZI ulianza KUPORWA wote na Dola bila aibu..Monduli kule, Hai, Singida Mashariki, Majimbo mengi ya Dar, Pemba yote yote yaliangukia kwenye Chama dola..AIBU