Adui wa mwanadamu duniani


naomba kuulza swali kwenye hilo:mfano:siku ya jumamosi fundi juma aliweka tiles nusu ya nyumba,siku hiyo hiyo alipaka rangi nusu ya nyumba hiyo,siku ya pili yaani juma pili fundi juma alimalizia kuweka tiles katika sehemu iliyobaki na kumalizia kupaka rangi sehemu ya nyumba iliyo baki,fundi juma anaulizwa uliweka tiles katika nyumba hii kwa siku ngapi? Fundi juma anasema nimetumia siku mbili kuweka tiles hizi!kisha anaulizwa ulipaka rangi nyumba hii kwa muda gani?fundi juma anasema nimetumia siku mbili kupaka rangi katika nyumba hii! Je!hapa tutajumlisha siku 2za tiles+2 za rangi kuwa ni siku4? Au uhalisia unabaki kuwa alikamilisha kazi zote hizo kwa siku 2 yaani j'mosi na j'pili?
 
Last edited by a moderator:
jimena wewe ni mwanamke ila wanawake wengi ni wanazi sana kwenye dini, wanawaamini wachungaji wao kiasi hata anaweza kujifilisi atoe sadaka amridhishe mchungaji, wewe jamii inakuchukuliaje? au hujajiweka wazi kua wewe sio muumini

Mi naishi dunia ambayo hakuna anayejali maisha ya mwingine. Hapa kila mtu na maisha yake mkuu.
Binafsi sio mtu wa kufatilia watu wengine wanavyosema kuhusu mimi.
 

Jifunze Kwanza kutengeneza Mifano Isiyojichanganya.
Mfano wako wa Fundi Juma Hauna Specific time-interval.Haujaonesha Juma Alitumia Masaa Mangapi kupaka rangi,na Masaa Mangapi kuweka Tiles,kumbuka siku Ina Masaa 24

ulitakiwa kuonyesha Juma,alitumia Masaa mangapi kupaka rangi,na Mangapi kuweka T
 

Duuu we jamaa unabshana!
 

We jamaa n zaid ya mwl. Mashaallah
 

Kwani ktk Qur'an Allah ameonyesha specific time????
 
God created universe for Reason not Religion
 
Napenda sana mchango wako hapa JF mkuu. Alafu jinsi hizi dini zinavyolewesha atakataa
 

Mwana wa Adam alishayashinda mauti, amekushindia na wewe pia... Elewa shetani anamtumia binadamu kuangamiza wanadamu... Na sisi wanadamu hatujielewi kwa sababu wengi wao wamekosa maarifa ya kumjua Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…