Byizle
Qur'an
7:54> Ameumba Mbingu na Ardhi kwa siku 6 kisha akaumba Jua, Mwezi na Nyota. (Kwann usione tendo hili la kuumba Jua, Nyota na Mwezi linakamilisha ck 7?)
Qur'an 10:3 na siyo 10:13 Hapa kaongelea kuumba Mbingu BILA IDADI na Ardhi kwa siku 6. {Ni Mbingu na Ardhi
Wewe Hesabu unaijua vizuri?
Quran 7:54
"Hakika Mola Mlezi aliyeziumba Mbingu na Ardhi kwa siku 6"
Hapa,Mbingu+Ardhi=siku 6.
Quran 41:9
"Sema Hivyo nyinyi mnaomkata aliyeumba Ardhi kwa siku Mbili"
Mbingu+ardhi=siku 6
lakini ardhi=siku 2
kwahiyo Mbingu=siku 4
Quran 41:12
"Na akaweka humo milima juu yake na akabariki humo,na akakadiria humo chakula chake katika siku 4."
Milima+chakula+vinginevyo=siku 4
Pia kwa mujibu wa Maelezo yako,Jua,mwezi na nyota Havikuumbwa pamoja na Mbingu
Hitimisho;
Milima+chakula+vinginevyo=4
Mbingu=4
Ardhi=2
jua,mwezi,nyota=1
Jumla 4+4+2+1=siku 11
kwanini iwe siku 11,Wakati Allah aliuumba vitu vyote ndani ya siku 6?
naomba kuulza swali kwenye hilo:mfano:siku ya jumamosi fundi juma aliweka tiles nusu ya nyumba,siku hiyo hiyo alipaka rangi nusu ya nyumba hiyo,siku ya pili yaani juma pili fundi juma alimalizia kuweka tiles katika sehemu iliyobaki na kumalizia kupaka rangi sehemu ya nyumba iliyo baki,fundi juma anaulizwa uliweka tiles katika nyumba hii kwa siku ngapi? Fundi juma anasema nimetumia siku mbili kuweka tiles hizi!kisha anaulizwa ulipaka rangi nyumba hii kwa muda gani?fundi juma anasema nimetumia siku mbili kupaka rangi katika nyumba hii! Je!hapa tutajumlisha siku 2za tiles+2 za rangi kuwa ni siku4? Au uhalisia unabaki kuwa alikamilisha kazi zote hizo kwa siku 2 yaani j'mosi na j'pili?
Last edited by a moderator: