Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mkuu no offense intended!! katika jamii ya waelewa kurekebishana/kukosoana ni sehemu ya maisha yetu!! Ni bahati mbaya hupendi kukosolewa/kurekebishwa!!Kwahiyo unadhani ni wewe tu ndio ulielewa kuwa nimekosea kusema hiyo ni topic?
Wewe umeelwa endelea kuchangia mada,mambo madogo dogo ndio huwafanywa watu wasiwe wanaweka mada zenye maana maana j
Pamoja sanaMkuu no offense intended!! katika jamii ya waelewa kurekebishana/kukosoana ni sehemu ya maisha yetu!! Ni bahati mbaya hupendi kukosolewa/kurekebishwa!!
Wenda pia mtaala wenu ulibadilishwa na kuifanya projectile motion kuwa topic ila kipindi chetu haikua hivyo na ndio maana inawezekana nili kurekebisha kimakosa!!!
BTW nimefuta kabisa hiyo post kiongozi na amani itawale!!
Mkuu ulipita iyunga miaka ipi. .??Guys
Mnanikumbusha iyunga boys,dah acha tu,nadhan mm nilikuwa kilaza kuliko wote
Physics noma ila kwangu Maths ilikua noma zaidi. Sijawahi kuipenda math advance. Kwa kifupi tulikua hatupendani na Math.Physics ni Nomaaaa Hakuna cha Biology wala Chemistry sijui....wala Economics dadadekiii
Basi tuuuu
Hahahahaaakwakweli hata mimi nitarudi shule zote lkn sio advance ya PCB!
Biology na Chemistry zinatembea lkn Advanced physics hapana aiseee! Topic kama Magnetism, Adiabatic Expansion! Kwakweli A.physics ni nomaaaa.
Nakumbuka nilotoka jasho kwenye Practical baada ya kukuta pendulum la ajaab, unafunga uzi kwenye rula halafu bob inaning'inia kwa kutengeza umbo la pembe tatu! I wont forget
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitasahau necta 2005 vifaa vya umeme viliponigomea Hadi msimamiz kunionea huruma nichukue data kwa jirani niendelee na swali kumbe jirani nae kapata data za uongo
Basi haki yangu kupata E. Shule niliyoenda advance sisi ndo tulikua PCM wa kwanza. Hamna walimu hamna lab hamna chochote. Walimu walikua ni wa O level. Bila kukomaa na tuition na umakini wa nisicheze na hela ya mama ningezungusha zero kubwa tu. Ila PCM sisomi hata iweje. Niko radhi nikasome PhD ila PCM sirudi. Kwanza hata kupata E ilikua miujiza tu.Vile vifaa ni vya kichina vingine ni feki kabisa.
Nafikiri hii ni moja sababu ya watu kufeli physics.
Tena hata vile vinavyotumika o'level vya practical ya electricity ni vya kichina vinaleta data za uongo.
Kufaulu pale unahitaji akili ya ziada (uwe kichwa kwelikweli)
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa advance kazi yangu ilikua ni kukariri page za vitabu na maswali+majibu yake kwenye page husika...
Kwahio mtu akiniletea swali namtajia page alipolitoa halafu namtajia jibu kwa mbwembwe mwisho na swali linanishinda..
HahahahahahahaaaaMagnetism mpka naondoka adv, sija wahi igusa !
Wave , electronic, modern physcics, heat, ndo zilikuwa topic zangu,
Mungu si athumani
Nikapata F ,
Sasa nisome nielewe ili iweje. Nikisubiri kuelewa muda wenyewe hautoshi matopic mengiii bado usistaduu unanisubiri akaaNdio topic ya mwanzo kabisa..
Kweli we msomea pepa.