Afande Meki wa Oyster Bay Polisi, kwa kumrusha kichura babu yangu (73) lazima upatwe na la kukupata

Nchi hii inakatisha tamaa kabisa ya kuishi, ndio maana nawaunga kabisa wale ma Beach boy's ambao hawataki kabisa kusikia Jina la Tanzania, why huyu senior citizen afanyiwe hivi, mbona mimi ninakaribishwa ndani ya Botswana army camp na kutengenezewa coffee, why mimi ninaweka pit stop kwenye check point ya Zambian police bila tatizo lolote ila siwezi katisha ndani ya makazi ya police wangu!,police waelewe bila ushirikiano na raia kazi yao itakua ngumu mno
 
Polisi na wanajeshi hawatishiki kwa uchawi.

Sababu wanajua ukweli kwamba uchawi ni haupo. Hauna madhara yoyote

Uchawi ni hadithi za kusadikika na kufikirika tu.
 
Hapo zamani za kale nilikua ninaamini kama wewe unavyoamini.


Kila mtu ana imani yake.

Ila kwa polisi ama wanajeshi hizo imani hawaziogopi maana training zao askari huwa wanaelekezwa ujanja ujanja unaotumika katika hizo imani potofu za kusadikika
 
 
wasiliana na ndug yetu Mshana Jr huyo polisi akil itamkaa sawa
 
Mshughulikie Mkuu hawezi kumtia Ulemavu babu yako
 
Wakipita kambi za JW wakirushwa kichura,hampigi kelele,wakipita kambi za polisi na kurushwa kichura,kelele zinaanza.
Je wafanyaje?
Kuishi nao uraiani,kusiwafanye mkawazoea sana.Ni askari hao.

Amepita nyumba za polisi sio kambi za polisi.

Nyumba za wanajeshi zenye mchanganyiko na raia hawana hayo mambo

HIVI WANAJESHI MBONA WANA ADABU SANA, HAWA WATU WANAFUNDISHWAGA AJE HUKO, ila polisi sasa

Mwanajeshi kama Nyoka, vunja miiko ndio akupe adhabu, nyoka haumi bila kumpiga jiwe au kumkanyaga

Polisi kama mamba,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…