Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Swali la msingi sana hili, Watu wanaongeza chumvi mpaka wanaongea vitu ambavyo havipo ..Afande sele asipofariki atatukana zaidiApo mnachochea moto tu, Afande asipokufa kabla ya hio ramadhani huoni kuwa atapata nguvu zaidi ya kudharau dini?
Watu kama yule jamaa ni wa kuwaacha tu.
Samahani Boss,View attachment 1730129
Baada ya kujirekodi akimtukana Mungu, hatimaye Afande Sele amesomewa dua ya kumuomba Mwenyezi Mungu amchukue kabla ya Ramadhan.
Thibitisha mkuu.Japo Afande Sele alivuka mpaka kwa matusi lakini hakitompata kibaya chochote kupitia kelele za huyu austazi.
Hakitampata kibaya sababu huyu Mungu anaesemwa na watu hayupo
Kwani Magufuli katwaliwa na mungu gani?Samahani Boss,
Kwani afande kamtukana Mungu gani??
Hajamtaja Allha wala Jehovah[emoji2986][emoji2986][emoji2986]
Kamtukana Mungu.
Kwani kuna Miungu wangapi??
Na waliokwazwa na Afande Sele, wamejuaje kama Mungu wao ndio aliokejeliwa na kutukanwa???
By the way, Mungu asiyesikia maombi ni Mungu kiziwi
Laana isiyo haki au na maana haiwezi kudhuru... Read bibleThibitisha mkuu.
kama ni ushirikina mungu wao ndiye aliyekusudiwa na afande sele? 😂😂😂hao jamaa ni wajinga sana, kwani mungu hajui afande sele kamkosea??? Kwanini wampe mungu maagizo ya kufanya?Kwanini wao ndio wamuhukumu afande sele? Yaani wanamshauri mungu kuua?Je hawajui mungu huwaacha wadhambi duniani kwa mda mrefu ili wapate nafasi ya kutubu??? ina maana mungu ni mjinga sana mpaka hajui nini cha kufanya! Huu ni ushirikina full stop
Nabii gani anaingilia hukumu ya MunguHuyu ni nabii sio Msomali
Ramli chonganishi, wanamchonganisha Afande Sele na Munguhao jamaa ni wajinga sana, kwani mungu hajui afande sele kamkosea??? Kwanini wampe mungu maagizo ya kufanya?Kwanini wao ndio wamuhukumu afande sele? Yaani wanamshauri mungu kuua?Je hawajui mungu huwaacha wadhambi duniani kwa mda mrefu ili wapate nafasi ya kutubu??? ina maana mungu ni mjinga sana mpaka hajui nini cha kufanya! Huu ni ushirikina full stop
mtu kamtukana mungu wake wengine wanaingilia, si wehu huu.Makundi yapo mengi, na kila moja lina Mungu wake
Anampa Mungu maagizo.Nabii gani anaingilia hukumu ya Mungu
Mimi ni pure islamic deen lkn huyu sheikh kishk amekosea sana tena sana mungu afundishwi kazi ata kidogo, kwanza kwa nini umuombee mwenzio kifo, kifo ni ibada.View attachment 1730129
Baada ya kujirekodi akimtukana Mungu, hatimaye Afande Sele amesomewa dua ya kumuomba Mwenyezi Mungu amchukue kabla ya Ramadhan.
Weka na verse ya Solo ThangAsante Profesa Jay, Majani na Ulamaa
Mmegusa nnapo’pataka
Name kwenye mtazamo’ na jambo nataka’ kuweka
Maana kila kukicha ma-emcees wanaongezeka
Nasema very nice!
Yes! Rap kama dhehebu
Wingi wa wasanii’ inaonesha ni dini swafi
Yaani imekubalika’ waumini tuko wengi’
Lakini bado na shaka’ sijapata uhakika
Wote tumesadiki?
Au wengine ni feki’ mmetumwa kama mamluki
Manake hamna maana
Maana mna rap na (?)
Mistari imekosa vina’
Yenye vina’ haina maana
Na kila mnapokaa
Mnapenda kusengenyana
Mnapenda kutetana na’
Mnapenda kulumbana
Mimi naogopa sana’ kwa jinsi ninavyo elewa
Mwishoni mtatukanana
Ama inawezekana’ mwishoni mkaja chinjana
Na wote tuna rap tuonekane’ hatuna maana
Wapi ilipo Taarabu? Ilikuja kwa kishindo hata wagumu walishaihusudu
Kwa ajili ya malumbano’ mwishoni ikafa kibudu
Shabiki piga simu’ changia mawazo yako, ni nani tutamlaumu?
Nani tumchune ngozi? Prodyuza aliyerekodi?
Ama labda DJ anayeipiga kwenye kipindi?
Wengi wanaipenda rap
Japo rap haiwapendi
Waungwana’ wanaicha
Wapumbavu hawa ambiliki
Hivi kwani lazima tuwe wote wanamuziki?
Mi nadhani ingetosha wengine mmbaki ushabiki
Huu ni wangu mtazamo
Masela’ msijenge chuki
Weka videoNaona ameomba msamaha tayari [emoji23][emoji23][emoji23]