Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

Apo mnachochea moto tu, Afande asipokufa kabla ya hio ramadhani huoni kuwa atapata nguvu zaidi ya kudharau dini?

Watu kama yule jamaa ni wa kuwaacha tu.
Swali la msingi sana hili, Watu wanaongeza chumvi mpaka wanaongea vitu ambavyo havipo ..Afande sele asipofariki atatukana zaidi
 
hao jamaa ni wajinga sana, kwani mungu hajui afande sele kamkosea??? Kwanini wampe mungu maagizo ya kufanya?Kwanini wao ndio wamuhukumu afande sele? Yaani wanamshauri mungu kuua?Je hawajui mungu huwaacha wadhambi duniani kwa mda mrefu ili wapate nafasi ya kutubu??? ina maana mungu ni mjinga sana mpaka hajui nini cha kufanya! Huu ni ushirikina full stop
 
View attachment 1730129

Baada ya kujirekodi akimtukana Mungu, hatimaye Afande Sele amesomewa dua ya kumuomba Mwenyezi Mungu amchukue kabla ya Ramadhan.
Samahani Boss,

Kwani afande kamtukana Mungu gani??
Hajamtaja Allha wala Jehovah[emoji2986][emoji2986][emoji2986]
Kamtukana Mungu.

Kwani kuna Miungu wangapi?
Na waliokwazwa na Afande Sele, wamejuaje kama Mungu wao ndio aliokejeliwa na kutukanwa?

By the way, Mungu asiyesikia maombi ni Mungu kiziwi
 
Samahani Boss,
Kwani afande kamtukana Mungu gani??
Hajamtaja Allha wala Jehovah[emoji2986][emoji2986][emoji2986]
Kamtukana Mungu.
Kwani kuna Miungu wangapi??
Na waliokwazwa na Afande Sele, wamejuaje kama Mungu wao ndio aliokejeliwa na kutukanwa???
By the way, Mungu asiyesikia maombi ni Mungu kiziwi
Kwani Magufuli katwaliwa na mungu gani?
 
Huyu ostadhi anafanya nini?Mbona kuna wanazuoni wanasema hii sala ni shirki,sio uislamu
 
hao jamaa ni wajinga sana, kwani mungu hajui afande sele kamkosea??? Kwanini wampe mungu maagizo ya kufanya?Kwanini wao ndio wamuhukumu afande sele? Yaani wanamshauri mungu kuua?Je hawajui mungu huwaacha wadhambi duniani kwa mda mrefu ili wapate nafasi ya kutubu??? ina maana mungu ni mjinga sana mpaka hajui nini cha kufanya! Huu ni ushirikina full stop
kama ni ushirikina mungu wao ndiye aliyekusudiwa na afande sele? 😂😂😂
 
hao jamaa ni wajinga sana, kwani mungu hajui afande sele kamkosea??? Kwanini wampe mungu maagizo ya kufanya?Kwanini wao ndio wamuhukumu afande sele? Yaani wanamshauri mungu kuua?Je hawajui mungu huwaacha wadhambi duniani kwa mda mrefu ili wapate nafasi ya kutubu??? ina maana mungu ni mjinga sana mpaka hajui nini cha kufanya! Huu ni ushirikina full stop
Ramli chonganishi, wanamchonganisha Afande Sele na Mungu
 
Asante Profesa Jay, Majani na Ulamaa
Mmegusa nnapo’pataka
Name kwenye mtazamo’ na jambo nataka’ kuweka
Maana kila kukicha ma-emcees wanaongezeka
Nasema very nice!
Yes! Rap kama dhehebu
Wingi wa wasanii’ inaonesha ni dini swafi
Yaani imekubalika’ waumini tuko wengi’
Lakini bado na shaka’ sijapata uhakika
Wote tumesadiki?
Au wengine ni feki’ mmetumwa kama mamluki
Manake hamna maana
Maana mna rap na (?)
Mistari imekosa vina’
Yenye vina’ haina maana
Na kila mnapokaa
Mnapenda kusengenyana
Mnapenda kutetana na’
Mnapenda kulumbana
Mimi naogopa sana’ kwa jinsi ninavyo elewa
Mwishoni mtatukanana
Ama inawezekana’ mwishoni mkaja chinjana
Na wote tuna rap tuonekane’ hatuna maana
Wapi ilipo Taarabu? Ilikuja kwa kishindo hata wagumu walishaihusudu
Kwa ajili ya malumbano’ mwishoni ikafa kibudu
Shabiki piga simu’ changia mawazo yako, ni nani tutamlaumu?
Nani tumchune ngozi? Prodyuza aliyerekodi?
Ama labda DJ anayeipiga kwenye kipindi?
Wengi wanaipenda rap
Japo rap haiwapendi
Waungwana’ wanaicha
Wapumbavu hawa ambiliki
Hivi kwani lazima tuwe wote wanamuziki?
Mi nadhani ingetosha wengine mmbaki ushabiki
Huu ni wangu mtazamo
Masela’ msijenge chuki
 
Weka na verse ya Solo Thang
 
Back
Top Bottom