Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

Huyo wakuhurumiwa na kusamehewa tu sababu siyo yeye ni bangi zinavuomtuma !

Ndiyo maana bangi inakatazwa kuvutwa sababu ya madhara kama hayo!
 
Hao walomsomea dua ni wapumbavu kuliko Afande. Aliyekashifiwa si yupo!? Hawezi chukua maamuzi hadi asikie wanadamu wanamuomba afanye hivyo!?
 
Mungu afundishiwi kulaani.

Mungu anajua namna ya ku deal na watu wake.

Ukisema Mungu muue flani kifo kibaya hapo umempangia Mungu cha kufanya.

Sisi tutajiuliza ni Mungu gani huyo ambaye anakubali kupangiwa cha kufanya.

Ustadhi usiharibu dini za watu.

Kuna watu walikuwa washenzi zaidi ya afande sele lkn Mungu hakuwafanya kitu zaidi aliwaonyesha njia ya kutoka kwenye ushenzi wao na kuanza kuwatumia watu hao kwa manufaa yake.

Hizi Dini tuwe nazo makini kuna vitu tunapaswa kujifunza kuhusu hizi dini tusipokuwa makini tunaweza kutoka nie ya mstari na kuaNza kufanya matendo ya ajabu.
Imagine huyu angepewa nguvu kidogo tu na Mungu tuseme ya kutoa roho za watu.Huyu si angeua watu hovyo?lakini je Mungu haoni maovu na waovu?Njia zake sio km zetu


Ukijua njia za Mungu sio km zetu basi mwanadamu atapunguza wenge na kuacha ku judge watu bali atawaonea huruma na kuwaombea.

Kabla ya kusoma kitabu chochote cha dini tambua Mungu ni (u)Pendo.Kwenye upendo kuna huruma.Utakuwa karibu sana na Mungu km ukijua upendo.
 
Naskia kuna msemo unasema "no research no right to speak"

Just google "Sheikh kishki on Magufuli" or "sheikh kishki in Tanzania"

Huyu mtu kutokana na analofanya anayo connection kubwa sana hapa nchi kwa serikali kuanzia ya Kikwete mpaka hii iliyopo. Mlezi wa taasisi yake ni Mzee Ali Hassan Mwinyi na hufanya mashindano yake evry year na mwaka mmoja mgeni rasmi alikuwa ni Muheshimiwa Hayati John Pombe Joseph Magufuli. Nadhani mwaka jana tu kwa sababu ya Corona ndio event zake hazijafanyika.

Anyway, one love mkuu!
Thanks kwa maelezo mate..
But what he did (Kishki) was stupid

I chose Mercy ✌️
 
Back
Top Bottom