Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

Mkuu ukikosa cha kuandika bora unyuti tu, maana hapo unachokifanya ni kama unajitekenya alafu unacheka mwenyewe. STUPID TWAT!!
 
Sele pamoja na weakness zake ila ametupa jiwe gizani makada wanachachawa mbaya[emoji1][emoji1] leteni facts hapa maans mnataja zahanati na vituo vya afya vilivyojengwa na Ankali (RIEP)
Madarasa yamejengwa kwa pesa ya C19 ya mkopo! hayo mnayojitetea yamejengwa lini?
 
And all these caused by our own wrong choices and the highest level of stupidity - we collect the highest taxes, we introduce tozo on mobile money and bank transactions etc., we put road blocks to collect levies on crops, we ask for Aid, we borrow, we receive Covid relief funds etc. And what do we do with it.....we spend it lavishly on high cost Prados and VXs for politicians, govnt officers, civil service executives, military forces etc. BUT even in their offices they miss basics like stationery - they come to companies ask contributions/sponsorship/fuel during national events [emoji848]Our school have no desks - leave alone toilets, women are sleeping on the floors in the delivery wards in our hospital???? We just got it so wrong. No priorities, no understanding, no vision. When you think of all we do indeed it is simply LUNACY!!!
 
Yamejengwa katika kipindi hiki Cha mwaka mmoja madarakani wa mh Rais Samia, pia yataendelea kujengwa Zaid maana kwa Sasa serikali inao mkakati wa kujenga vyumba vya madarasa Zaid ya elfu nane nchini ili wanafunzi wapate nafasi ya kusoma bila shida watakapokuwa wamechaguliwa kujiunga na kidato Cha kwanza mwakani
 
Lucas mwashambwa naomba unijibu bila unafiki.

Je wewe unampeleka mwanao shule za serikali na ukiugua utakubali kupelekwa hospitalali ya serikali?

Je hao viongozi wanaopigia promo tozo familia zao zinatumia hizo shule na zahanati za serikali, kama sio ni kwanini?
 
Hivi huoni saizi namna huduma za serikali zilivyo boreshwa kuanzia mahospitalini Hadi shuleni, Sina wasiwasi na huduma za serikali na hata nipatwe na shida nitakwendaa hukohuko serikalini kupata huduma
 
Hivi huoni saizi namna huduma za serikali zilivyo boreshwa kuanzia mahospitalini Hadi shuleni, Sina wasiwasi na huduma za serikali na hata nipatwe na shida nitakwendaa hukohuko serikalini kupata huduma
Kuna tofauti kati ya siasa na uhalisia
 
Mtoa mada anaandika kama una kipande cha ndizi matakoni.
Acha matusi, uwe na staha Kama mtu aliye pata malezi ya wazazi, hata hivyo siwezi kukutukana kwa kuwa Namheshimu kila mtu, Mungu akupe hekima na moyo wa upendo, nafahamu naweza nikatofautiana na wewe kimtizamo na nikakupinga kwa hoja pasipo kukuvunjia heshima Wala utu wako
 
Hivi una akili timamu kweli ww.....au ww ndo unakula tozo zetu ndo maan umekaa hapo unasema sema tu.....Mbona mambo Yako wazi kabisa....hakuna kipya na alivovikuta anaviendeleza.....acheni ushabiki mandazi kua mkweli na muwazi
 
Hivi una akili timamu kweli ww.....au ww ndo unakula tozo zetu ndo maan umekaa hapo unasema sema tu.....Mbona mambo Yako wazi kabisa....hakuna kipya na alivovikuta anaviendeleza.....acheni ushabiki mandazi kua mkweli na muwazi
Hakuna kipya? Hivyo vituo vya Afya 234 vilikuwepo awali? Huoni vimejengwa wakati huu wa mh Rais wetu mpendwa? Suala la kutoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita huoni Ni kazi ya mh Rais wetu Samia? Suala la kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea huoni Ni kazi ya Rais Samia? Au wewe umekuja Jana hapa Tanzania?

Mama anaendelea kujenga miradi mipya mingi tu pamoja na Kuendelea kutekeleza ilani ya CCM kwa kuanzia pale alipoishia Hayati Dr John Pombe Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…