Sainya Jnr
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 467
- 1,112
Mtoa mada anaandika kama una kipande cha ndizi matakoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna lolote,. Kama kakutuma ufanye investigation mwambie huku ninapoishi anachukiwa na ht mm nikipata upenyo wa kuingiza risasi kwake nammaliza mara moja for the sake of other Tanzanians!Wewe na Nani,
Mkuu ukikosa cha kuandika bora unyuti tu, maana hapo unachokifanya ni kama unajitekenya alafu unacheka mwenyewe. STUPID TWAT!!Ndugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha secta ya Elimu hapa nchini? Watanzania wanahoji kuwa Afande sele amesahau Mara hii namna watanzania walivyokuwa wanahaha kulipa michango ya ujenzi wa vyumba vya madarasa Hadi wengine kukimbia Kaya zao?
Wanauliza je, hakuona mh Rais wetu mpendwa akitoa fedha kwa ajiri ya kwenda kujenga vyumba vya madarasa kila shule? hakuona miaka ya nyuma wengine wakienda muhula wa pili kuanza masomo yao kwa kuwa tu hakukuwa na madarasa ya kutosha? Je wangekuwaje sawa na waliolipoti mwezi wa kwanza?
Wanauliza Kwamba huyu msanii hajaona namna uamuzi wa serikali wakufuta Ada ya kidato cha tano na sita ilivyoweza kuwasaidia watoto wa wanyonge kupata Elimu bila shida? Wangapi walikuwa wanashindwa kuripoti shule kwa kukosa Ada? Je haoni Jambo hilo limeleta neema kwa familia masikini? Huyu msanii haoni kuwa hizo Ni faida za Tozo zetu?
Huyu msanii kwamba hajaona namna zahanati na vituo vya Afya vilivyosambazwa kila Kona ya nchi hii ndani ya muda mfupi wa Rais Samia? Kwamba hajaona wananchi walivyopunguziwa adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma za Afya? Haoni suala Hilo limesaidia hata wamama wajawazito kujifungulia hospitalini na hivyo kupunguza hatari ya kutokea kwa vifo vya mama na mtoto?
Huyu msanii haoni namna huduma za maji zilivyosogezwa Hadi vijijini na hivyo kupunguza Ile kero ya watu kuamka alfajiri kutafuta maji toka kilometa kadhaa? Anadhani pesa hizo zimetoka wapi? Au alitaka watanzania waendelee kuhenyeka kufuata maji umbali mrefu?
Huyu msanii hajaona juhudi za serikali kuinua maisha ya mkulima kwa uamuzi wake wa kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini? Haoni namna ambavyo kwa Sasa mbolea inapatikana kwa Bei nafuu ya elfu 70 kwa DAP ambayo msimu uliopita iliuzwa kwa laki na 40? Haoni Jambo Hilo litachochea uzalishaji kuongezeka msimu ujao! Haoni kuwa uchumi wa mkulima unakwenda kuinuka hasa ukizingatia Ni secta iliyo ajiri kundi kubwa la watanzania na ndio pumzi ya watanzania wengi
Hapana siyo kuwa haoni Bali kaamua tu kujipa upofu na kufanya upotoshaji kwa umma ambao hata hivyo umempuuza tu, watanzania hawamshangai maana bado wanakumbuka kuwa amewahi kuvua nguo jukwaani,kwa hiyo wanaona anatatizo linalohitaji ushauri wa kisaokolojia
Watanzania wanaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, maana wameona juhudi zake katika kuijenga nchi yetu na maendeleo yaliyopatikana na namna yalivyogusa maisha ya watanzania kwa kupunguza kero zilizokuwa kidonda ndugu kwao
Watanzania wanasema Tanzania itajengwa na sisi watanzania, hatuwezi tukakaa tu ili wenzetu walipe Kodi na Tozo huko kwao halafu sisi tuletewa huku, Hatutaweza Kuendelea na aibu hiyo, Sasa Tumeamua kuijenga Tanzania yetu na mh Rais wetu mpendwa Samia ameongoza njia hiyo na watanzania tunamuunga mkono
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania walipo
UlWe jamaa hauko sawa kichwani! Unalipwa shingapi kusambaza uongo ?Shule zimejengwa na hata madarasa yameongezwa, huku niliko hayo nayoandika yamefanyika kwa pamoja
K
Kazi zinaonekana, mama amekuwa muwazi Sana katika uendeshaji wa serikali , Ndio maana watanzania tunakuwa tunaona na kufahamu mengi na ndio sababu ya mh Rais kuungwa mkono na watanzania wote
Maagizo yameshatolewa na serikali kupitia Mh Waziri mkuu na utaona wahusika wakiwajibishwa haraka sana uchunguzi ukikamilika, huwezi ukachezea fedha za umma na ukabaki salama katika serikali hii ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani
Yamejengwa katika kipindi hiki Cha mwaka mmoja madarakani wa mh Rais Samia, pia yataendelea kujengwa Zaid maana kwa Sasa serikali inao mkakati wa kujenga vyumba vya madarasa Zaid ya elfu nane nchini ili wanafunzi wapate nafasi ya kusoma bila shida watakapokuwa wamechaguliwa kujiunga na kidato Cha kwanza mwakaniSele pamoja na weakness zake ila ametupa jiwe gizani makada wanachachawa mbaya[emoji1][emoji1] leteni facts hapa maans mnataja zahanati na vituo vya afya vilivyojengwa na Ankali (RIEP)
Madarasa yamejengwa kwa pesa ya C19 ya mkopo! hayo mnayojitetea yamejengwa lini?
Hivi huoni saizi namna huduma za serikali zilivyo boreshwa kuanzia mahospitalini Hadi shuleni, Sina wasiwasi na huduma za serikali na hata nipatwe na shida nitakwendaa hukohuko serikalini kupata hudumaLucas mwashambwa naomba unijibu bila unafiki.
Je wewe unampeleka mwanao shule za serikali na ukiugua utakubali kupelekwa hospitalali ya serikali?
Je hao viongozi wanaopigia promo tozo familia zao zinatumia hizo shule na zahanati za serikali, kama sio ni kwanini?
Kuna tofauti kati ya siasa na uhalisiaHivi huoni saizi namna huduma za serikali zilivyo boreshwa kuanzia mahospitalini Hadi shuleni, Sina wasiwasi na huduma za serikali na hata nipatwe na shida nitakwendaa hukohuko serikalini kupata huduma
Acha matusi, uwe na staha Kama mtu aliye pata malezi ya wazazi, hata hivyo siwezi kukutukana kwa kuwa Namheshimu kila mtu, Mungu akupe hekima na moyo wa upendo, nafahamu naweza nikatofautiana na wewe kimtizamo na nikakupinga kwa hoja pasipo kukuvunjia heshima Wala utu wakoMtoa mada anaandika kama una kipande cha ndizi matakoni.
Hivi una akili timamu kweli ww.....au ww ndo unakula tozo zetu ndo maan umekaa hapo unasema sema tu.....Mbona mambo Yako wazi kabisa....hakuna kipya na alivovikuta anaviendeleza.....acheni ushabiki mandazi kua mkweli na muwaziNdugu zangu Afande sele kawashangaza Sana mamilioni ya watanzania ambao wanaendelea kuhoji kuwa Ina maana Afande sele hajaona ndani ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani alivyojenga na kuboresha secta ya Elimu hapa nchini? Watanzania wanahoji kuwa Afande sele amesahau Mara hii namna watanzania walivyokuwa wanahaha kulipa michango ya ujenzi wa vyumba vya madarasa Hadi wengine kukimbia Kaya zao?
Wanauliza je, hakuona mh Rais wetu mpendwa akitoa fedha kwa ajiri ya kwenda kujenga vyumba vya madarasa kila shule? hakuona miaka ya nyuma wengine wakienda muhula wa pili kuanza masomo yao kwa kuwa tu hakukuwa na madarasa ya kutosha? Je wangekuwaje sawa na waliolipoti mwezi wa kwanza?
Wanauliza Kwamba huyu msanii hajaona namna uamuzi wa serikali wakufuta Ada ya kidato cha tano na sita ilivyoweza kuwasaidia watoto wa wanyonge kupata Elimu bila shida? Wangapi walikuwa wanashindwa kuripoti shule kwa kukosa Ada? Je haoni Jambo hilo limeleta neema kwa familia masikini? Huyu msanii haoni kuwa hizo Ni faida za Tozo zetu?
Huyu msanii kwamba hajaona namna zahanati na vituo vya Afya vilivyosambazwa kila Kona ya nchi hii ndani ya muda mfupi wa Rais Samia? Kwamba hajaona wananchi walivyopunguziwa adha ya kusafiri umbali mrefu kutafuta huduma za Afya? Haoni suala Hilo limesaidia hata wamama wajawazito kujifungulia hospitalini na hivyo kupunguza hatari ya kutokea kwa vifo vya mama na mtoto?
Huyu msanii haoni namna huduma za maji zilivyosogezwa Hadi vijijini na hivyo kupunguza Ile kero ya watu kuamka alfajiri kutafuta maji toka kilometa kadhaa? Anadhani pesa hizo zimetoka wapi? Au alitaka watanzania waendelee kuhenyeka kufuata maji umbali mrefu?
Huyu msanii hajaona juhudi za serikali kuinua maisha ya mkulima kwa uamuzi wake wa kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini? Haoni namna ambavyo kwa Sasa mbolea inapatikana kwa Bei nafuu ya elfu 70 kwa DAP ambayo msimu uliopita iliuzwa kwa laki na 40? Haoni Jambo Hilo litachochea uzalishaji kuongezeka msimu ujao! Haoni kuwa uchumi wa mkulima unakwenda kuinuka hasa ukizingatia Ni secta iliyo ajiri kundi kubwa la watanzania na ndio pumzi ya watanzania wengi
Hapana siyo kuwa haoni Bali kaamua tu kujipa upofu na kufanya upotoshaji kwa umma ambao hata hivyo umempuuza tu, watanzania hawamshangai maana bado wanakumbuka kuwa amewahi kuvua nguo jukwaani,kwa hiyo wanaona anatatizo linalohitaji ushauri wa kisaokolojia
Watanzania wanaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa, maana wameona juhudi zake katika kuijenga nchi yetu na maendeleo yaliyopatikana na namna yalivyogusa maisha ya watanzania kwa kupunguza kero zilizokuwa kidonda ndugu kwao
Watanzania wanasema Tanzania itajengwa na sisi watanzania, hatuwezi tukakaa tu ili wenzetu walipe Kodi na Tozo huko kwao halafu sisi tuletewa huku, Hatutaweza Kuendelea na aibu hiyo, Sasa Tumeamua kuijenga Tanzania yetu na mh Rais wetu mpendwa Samia ameongoza njia hiyo na watanzania tunamuunga mkono
Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania walipo
Hakuna kipya? Hivyo vituo vya Afya 234 vilikuwepo awali? Huoni vimejengwa wakati huu wa mh Rais wetu mpendwa? Suala la kutoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita huoni Ni kazi ya mh Rais wetu Samia? Suala la kutoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea huoni Ni kazi ya Rais Samia? Au wewe umekuja Jana hapa Tanzania?Hivi una akili timamu kweli ww.....au ww ndo unakula tozo zetu ndo maan umekaa hapo unasema sema tu.....Mbona mambo Yako wazi kabisa....hakuna kipya na alivovikuta anaviendeleza.....acheni ushabiki mandazi kua mkweli na muwazi
Acha dharau kwa watanzaniaManjenga madarasa yanayozalisha misukule 90, chawa 9 na mzima mmoja kuwa mitaji yenu ya baadae.
Huu Ni uhalisia wenye ushahidiKuna tofauti kati ya siasa na uhalisia