Afande Sele hafahamu kuwa miradi iliyotekelezwa na Rais Samia kipindi hiki ni mingi kuliko wakati mwingine wowote?

Na viongozi pia wanahuo wajibu. Wao wanatakiwa kupunguza matumizi. Sio kungojea kila toleo la v8 wanunue. V8 moja ni shule nzima na chenji inabaki.
Mkakati wa serikali upo hivyo katika kupunguza na kubana matumizi ya serikali
 
Kama unatarajia kuwa kiongozi kwa niaba ya watanzania wenzangu hatuhitaji kiongozi wa kariba YAKO, huna hata uchungu na hii nchi kutwa umekuwa ukiimba pambio lilelile au na wewe ni miongoni mwa waliochaguliwa kuweka sawa mambo mtandaoni? BADILIKA
 
Huyo mvuta bangi muda huu ilitakiwa awe central police , Ni mchochezi
Tofautisha uchochezi na haki ya kuchochea. Uchochezi umeletwa na serikali ambayo haiweki wazi matumizi ya tozo zilizokusanya na matumizi ya mikopo ya Covid. Na pia ata zahanati na blah blah zilizojengwa pesa zilozotumika haziwekwi wazi. Kwa raia mwenye akili timamu lazima aulize. Maswali yabakuja kutokana na mapenzi ya dhati ya raia kwa nchi yake na kutokana na ugumu wa tozo uliongezeka.
 
Asanteni sana wana JF, huku ndiko kumkoma nyani giledi bila kumtazama uso!
Tatizo la chawa kama huyu Lucas mwashambwa ni kwamba hana hata hisia!
Ni sawa na mtu aliyejinyea halafu anashangaa kila anayekutana naye kaziba pua!
Huyu chawa si tu hana aibu, si tu hana akili, si tu hana utu...ni mpumbavu wa kutupwa!
 
Watanzania gani unaowazungumzia we mlamba asali!
 
Apo kwenye sekta ya elimu ni nothing kama hajabadiri huu mfumo wa elimu ya kikolon. elimu isiyokuwa na msaada wowote kwa wanafunzi,. majengo mazuri elimu mbovu elimu tegemezi. abadiri mitaala
 
Yaani unatumia mda wako kujibu kichaa wa bangi? Siwezi tumia hata sekunde..
 
Promo promo promo paratrooper s mko vizuri mbona wepesi kusahau nyie mliosema Yale mabilioni ya mkopo wa covid 19 ndo mlijenga hayo unayataja! Leo imekuwa tena tozo? So hela yetu ya covid 19 ipo wapi?
 
Ndugu zangu ni haibu kuongelea madarasa na zahanati kwani tukumbe majirani zetu waliopata Uhuru nyuma yetu walishatoka huko siku nyingi
 
Tanzania itajengwa na sisi watanzania, Unataka Nani atujengee nchi yetu? Unataka Nani abebe wajibu wetu? Unazani Kuna maendeleo yanayokuja pasipo maumivu? Unazani hao walioendelea na tunaowapigia mifano hawakupata maumivu walipokuwa wanajenga nchi zao? Unazani hawakuvuja jasho? Unazani hawakujifunga mikanda? Unazani wangefika hapo walipo pasipo kuwa wazalendo na kukubali kuumia ili watoto wa watoto wao waishi wananvyoishi Leo? Unazani wangekwepa wajibu wao wangefika hapo walipo? Au unazani walipokea maendeleo toka angani?

Palipo na maboresho serikali yetu Ni sikivu na itafanya hivyo, lakini bado wajibu wetu wa kuijenga nchi yetu tutaubeba katika mabega yetu wenyewe, lakini bado nitaendelea kuheshimu michango yako humu jukwaani na hata tutakapofofautiana tutaheshimiana na kukuheshimu na pakukuunga mkono nitafanya hivyo bila kinyongo maana Wote tuna Ndoto ya kuona Taifa hili linasonga mbele kwa mikono na miguu yetu wenyewe ikichagizwa na fikra zetu chanya
 
Pamoja na matusi yako kwangu lakini naendelea kuheshimu utu wako kwani unastahili kuheshimiwa Kama mwanadamu, hata naotofautiana nao kimtizamo nabaki kuwaheshimu bila kuwatukana au kuwadhalilisha utu wao
 
Promo promo promo paratrooper s mko vizuri mbona wepesi kusahau nyie mliosema Yale mabilioni ya mkopo wa covid 19 ndo mlijenga hayo unayataja! Leo imekuwa tena tozo? So hela yetu ya covid 19 ipo wapi?
Kazi za ujenzi haziishi na haziji kufika kikomo kwa kuwa Mahitaji yanaongezeka kila siku kwani hata idadi ya watu unaongezeka pia hapa nchini
 
Apo kwenye sekta ya elimu ni nothing kama hajabadiri huu mfumo wa elimu ya kikolon. elimu isiyokuwa na msaada wowote kwa wanafunzi,. majengo mazuri elimu mbovu elimu tegemezi. abadiri mitaala
Mapitio mbalimbali yanafanyika huku wadau wa Elimu wakishirikishwa kuweza kutoa maoni,
 
Hao Watanzania ni kina nani na wanapatikana wapi ?

Brother you are out of touch..., Afande Sele ndio ana-represent mitizamo ya wadau wengi huku kitaa na kama mtaendelea kuziba masikio na kujifariji mtajikuta mnajenga ukuta badala ya kuziba ufa....
 
Alafu nyie........msituchukulie poa tunawaona tuu mkijichanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…