Sawa hata kama propaganda ilitawala, je hukuweza na hadi leo hujaweza kuona miradi iliyopatikana? Kusoma hujui, hata picha unashindwa kutazama..Sele anataka aone Zege linamiminwa ndio i click! [emoji1787]
Mama anatakiwa arudishe kile kitengo cha Propaganda cha Mwendazake, Watu walllishwa sana Propaganda mpaka wamekuwa Mateja.
Mngekuwa mnaleta ushahidi (statistic na data), sio kuleta mihemko tu. Pesa ya kununua ndege zile haikukopwa popote, ni pesa yetu taslim.Mkuu kumbuka kuna kurudisha mikopo. JPM alikopa mikopo ya kibiashara ya muda mfupi na riba kubwa. Sasa hiyo mikopo inatakiwa kurejeshwa na miradi yoote mikubwa aliyoanzisha kuanzia ununuzi wa midege, SGR, bwawa la umeme n.k hakuna hata mmoja umeweza kurudisha hata shilingi. Mambo siyo rahisi kama tudhanivyo.
Kama unajua kuna mambo yake anayatumiaga na bado akaweza kutoa point kama hizo na wewe hujaweza kuzitoa japokuwa hutumii na wewe hayo mambo basi wewe ni uselessAnaongea yeye au ashapiga mambo yake yale
Amna mtu aliyeporwa pesa yake, ila walinyang'anywa pesa ya serikali.Ukumbuki walikuwa wanapora fedha za watu kwenye account zao na bado haikutosha wakaunda sheria ya plea bargain
View attachment 2351368
"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale"
"Sasa wewe unakopa halafu watoto wako bado wanakaa na njaa, sasa wewe umekopa ya nini? Tunasema nchi kubwa zinakopa, Magufuli alikopa.....lakini Magu alipokopa tuliona. Miradi ya kimkakati mikubwa alijenga, mipya akaianzisha, ya zamani akaiboresha, ma reli yaliyokufa miaka na miaka yanayoenda huko Arusha kayafufua, reli kigoma inaishia Dodoma kaifufua mpaka Dar es salaam, akajenga na reli mpya, miundombinu ya umeme akaanzisha na mambo mengi mengi alifanya kwa muda mfupi aliotumikia nchi hii."
"Ko tunasema, ok alikopa lakini alifanya hiki. Ila kwenye kukopa kwake pia Magufuli hatukuona tozo zikiongezeka, hatukuona makodi ya ajabu ajabu, yaani tuliona kwamba mambo yanakwenda hata kwenye kipindi cha CORONA, kipindi kigumu dunia nzima imefungiwa ndani yeye bado aliendelea kupambana."
"Hatukuona matozo wala makodi ya ajabu yakiletwa nchi hii"

Mbona bei ya Mchele haikufika 3000. Kwani saivi kumetokea nini. Au magufuli alikuwa anapora mazao ya wananchi na kuuza Kwa bei ya chiniUkumbuki walikuwa wanapora fedha za watu kwenye account zao na bado haikutosha wakaunda sheria ya plea bargain
Wajaribu kwenye nini wakati hakuna reli wa treni ya umemeHivi yale majaribio ya njia ya reli kipande cha Dar es salaam mpaka Morogoro yameishafanyika, au hadi September ya mwaka ujao?. 🤔
Asa hapa umeongea nini Sasa. Au ulikuwa na hamu ya kutukana watuHawa wapambe wa Magu wajinga sana,toka mtu wao afariki wamechanganyikiwa wamekuwa watu wa kulalamika tu.
Magu alikuwa na madhaifu mengi sana na roho mbaya, lakini kwenye kuwajali wananchi wenye hali duni za maisha alikuwa imara kidogo.Mbona bei ya Mchele haikufika 3000. Kwani saivi kumetokea nini. Au magufuli alikuwa anapora mazao ya wananchi na kuuza Kwa bei ya chini
Kwani hii anayokopa mama yenu (failure) italipwa na watu wa Burundi? Huoni kwamba ni bora kulipa mikopo iliyofanya kazi (ya jiwe) kuliko hii ambayo inakopwa na mama yenu bila kufanyiwa kazi.Sema watu wengi ni wajinga, wanadhani ukikopa hakuna kurejesha au Burundi ndiyo watarejesha hiyo mikopo ya Jiwe
Wewe umejibu nini hapo? Utakuwa ni miongoni mwao bila shaka ndio maana umekuja juu.Asa hapa umeongea nini Sasa. Au ulikuwa na hamu ya kutukana watu
Wanakopa alafu wananunua mabasiKwani hii anayokopa mama yenu (failure) italipwa na watu wa Burundi? Huoni kwamba ni bora kulipa mikopo iliyofanya kazi (ya jiwe) kuliko hii ambayo inakopwa na mama yenu bila kufanyiwa kazi.
Wewe ni mmoja wa wajinga.
Ukiwa na akili timamu huwezi tumia hata sekunde moja kumsoma au kumsikiliza huyo taahira wa bangi.View attachment 2351368