ki2c
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 7,719
- 14,506
Yeye mwenyewe kupitia washauri wake,lakini haohao washauri wake,labda wanafanya kolabo na wateuliwa,matokeo yake,wanamhujumu MAMA.Watekelezaji nani kawateua?
Wako chini ya Mamlaka ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye mwenyewe kupitia washauri wake,lakini haohao washauri wake,labda wanafanya kolabo na wateuliwa,matokeo yake,wanamhujumu MAMA.Watekelezaji nani kawateua?
Wako chini ya Mamlaka ipi?
Kila siku nawambia ukitaka kuongoza Nchi zenye wajinga wengi piga Pini mdomo mdomo..View attachment 2351368
"Unajua kwenye each one teach one hatupingi mikopo, lakini tunapinga aina ya mikopo na kile ambacho kinatumika kupitia hiyo mikopo. Yaani, hiyo mikopo ina impact gani kwa wananchi inayoeleweka. Ni kama vile wewe umeenda kwa bwasheee kukopa unga au mafuta kwa sababu watoto wako wale"
"Sasa wewe unakopa halafu watoto wako bado wanakaa na njaa, sasa wewe umekopa ya nini? Tunasema nchi kubwa zinakopa, Magufuli alikopa, lakini Magu alipokopa tuliona. Miradi ya kimkakati mikubwa alijenga, mipya akaianzisha, ya zamani akaiboresha, ma reli yaliyokufa miaka na miaka yanayoenda huko Arusha kayafufua, reli kigoma inaishia Dodoma kaifufua mpaka Dar es salaam, akajenga na reli mpya, miundombinu ya umeme akaanzisha na mambo mengi mengi alifanya kwa muda mfupi aliotumikia nchi hii."
"Ko tunasema, ok alikopa lakini alifanya hiki. Ila kwenye kukopa kwake pia Magufuli hatukuona tozo zikiongezeka, hatukuona makodi ya ajabu ajabu, yaani tuliona kwamba mambo yanakwenda hata kwenye kipindi cha CORONA, kipindi kigumu dunia nzima imefungiwa ndani yeye bado aliendelea kupambana."
"Hatukuona matozo wala makodi ya ajabu yakiletwa nchi hii"
Hata alipokopa,miradi ilimalizika?Mkuu kumbuka kuna kurudisha mikopo. JPM alikopa mikopo ya kibiashara ya muda mfupi na riba kubwa. Sasa hiyo mikopo inatakiwa kurejeshwa na miradi yoote mikubwa aliyoanzisha kuanzia ununuzi wa midege, SGR, bwawa la umeme n.k hakuna hata mmoja umeweza kurudisha hata shilingi. Mambo siyo rahisi kama tudhanivyo.
Nimekusamehe bure, mihemko ya ujana inakusumbua.Umeeleweka GOODgay
PhD ya kununua ndugu.....Mvuta bange anaongea point kuliko chawa wenye Phd
Kwa hiyo wapambe wa magufuli Tu tozo zinawaumiza,mfumuko wa bei unawaiza?kuwa na akili kidogoHawa wapambe wa Magu wajinga sana,toka mtu wao afariki wamechanganyikiwa wamekuwa watu wa kulalamika tu.
Kati ya mim na wewe nani analalamika kuhusu tozo?Tozo zimekuondoa akili kabisa
Hao walikufa vifo vya kawaida kama ambavyo mpaka leo watu wanakufa. Ila Jiwe alikufa kwa laana ya Watanzania.Kwamba wale watu laki 5 waliokufa kwa korona kule marekani nao waliamin ushirikina?
Hivi unajua kuwa mpaka leo ike 1.5 tr bado haijulikani iko wapi?Alikopa wapi na wapi na shilingi ngapi kwa riba ya asilimia ngapi. Toa tu mfano vinginevyo huo ni uongo mkubwa.
Hakuna mauaji ya raia kutoka kwa watu wasiojulikanaMiaka 2 kipi kikubwa tunaweza sema amekifanya ambacho ata mtu wa kijinini kabisa atamsifia.niambie 2 tu.
Ndungai na wewe mna tofauti gani ukiachana na majina?Kumbe kusema ukweli ni shida.kumbe ndugai hakukosea
So tatizo lako wewe ni kukosa mrija wa kulambia asali, enzi za mwendakuzimu ulikuwa kimyaKwamba kina Makamba kuzungukuza huku wakigawa Majiko ya Gesi na Bungeni kusimamisha shughuli ili kusifia Royal Tour unaita nini kama sio Propaganda ?!!!
Kila mgeni aliyekuja baada ya ile tamthiliya alihusishwa na Royal Tour..., If that's not Propaganda tell me what Is !!!, Kina Afande Sele na wengine tunao-criticize ndio tunaitakia mema nchi bila kusema hiki hapana walamba asali wanaweza kuona ni sawa...
Tatizo lako wewe kubwa ni usukuma gangSawa, kwaiyo Iyo mikopo imeanza kulipwa baada tu ya mama kuingia madarakani????
Kama sivyo, Jpm aliwezaje kuendesha nchi bila tozo huku akiendelea kulipa mikopo yake ya kibiashara yenye riba kubwa?????
Juhudi kubwa ambazo Jpm aliwekeza ni ukusanyaji wa kodi na sote tuliona ambavyo hakukuwa na masihara kwenye hilo,
Sasa hivi ulipaji wa kodi umeshuka wafanyabiashara wengi hawalipi kodi.
Wewe ni chizi aiseeMngekuwa mnaleta ushahidi (statistic na data), sio kuleta mihemko tu. Pesa ya kununua ndege zile haikukopwa popote, ni pesa yetu taslim.
Mbona nchi hii ina machizi kiasi hiki! So hujui kuwa watu walikuwa wanaporwa pesa zao kwa sababu wewe hukuporwa?Amna mtu aliyeporwa pesa yake, ila walinyang'anywa pesa ya serikali.
Wewe uliporwa sh ngapi???
Toka mungu afe sukuma gang mmechanganyikiwa kabisaHuu ni uongo kabisa. Kwamba hakuna kinachofanyika tangu mwezi March 2021 hadi hii September 2022? Huu ni upotishaji mkubwa!