Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

Hiyo fine mnampa cash au anawaandikia?

Kama ni cash na mazingira ndiyo hayo, uwezekano wa kuwa mchezo upo!

Kama anaandika fine,then ananufaikaje na waigizaji anawalipaje?

Kuna commission anapewa kwa wingi wa fine alizoandika?
Kila fine, polisi alieandika hupata Tsh 5000, na ndiyo maana kwenye lisiti ina jina la mpiga faini.
 
Hiyo fine mnampa cash au anawaandikia?

Kama ni cash na mazingira ndiyo hayo, uwezekano wa kuwa mchezo upo!

Kama anaandika fine,then ananufaikaje na waigizaji anawalipaje?

Kuna commission anapewa kwa wingi wa fine alizoandika?
kila fine 5000
 
Iyo pesa una pewa risiti au mna yamaliza kimya kimya tuanzie apo kwanza
Yote majanga mkuu.

Hii ya kuandikiwa usipoitoa kwa wakati inazidi tu kupanda, ni bora ya rushwa ya kumalizana kuliko fine ya kuandikiwa.
 
Mama samia mwenyewe keshapigwa mabao kibao miaka ya nyuma
Mama angetumia muda huu kuwaondoa ma barabarani sasa
 
sasa gari moja unakuja kupiga kelele hapa!!!ushawahi sikia mwenye dala dala analia lia na traffic??

hela huna road unatembea kiwaki,lazima uliwe kichwa.
Daladala wameshajitengenezea mtandao, wana bajeti yao kila siku, wawapi barabarani.
Ndiyo maana Daladala anaweza kukupiga pasi, kwenye gari yako, mkiita trafiki, akiona haki ni yako, anakupa kosa wewe. Alafu anajifanya kusimama katikati, Wote tembeeni makarekebishe magari yenu wenyewe.
 
R.I.P JIWE
 
Wewe jamaa Ni Askari halaf umemchoma huyu wp
 
sasa gari moja unakuja kupiga kelele hapa!!!ushawahi sikia mwenye dala dala analia lia na traffic??

hela huna road unatembea kiwaki,lazima uliwe kichwa.
Sasa mwenye daladala huyo traffic anakutananae wapi we mama?
 
We nae unacoment ukitokea mkoa gani?lini ushawah kuona watu waneisha barabaran dar?
 
Hapo kwa kuongezwa mshahara umekosea sana kama ndiyo kigezo chako
Unajua mshahara umeongezwa shs ngapi au unasema sema tu?
 
Wewe kama dereva uliyefuzu unapaswa kuju taratibu za zebra crossing, vinginevyo urudi shuleni.
 
Only in Tanzania!!
 
Trafiki hawawezi kuacha rushwa barabarani, ila serikali ikiweka camera barabara kuu zote hapo ndipo itakuwa mwisho wa trafiki kuomba rushwa.

Pia sisi raia tukitumia smart phone zetu vizuri tutapata clip nyingi za kusambaza ziwahusio polisi wala rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…