Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kifungu gan kinasema usimame kwenye zebra.Hizo leseni mlipataje aisee?
Nani alikwambia ukikuta Hamna watu wanaokatisha zebracross unapaswa kupitiliza bila kusimama?
Sahii kabisaDaladala wameshajitengenezea mtandao, wana bajeti yao kila siku, wawapi barabarani.
Ndiyo maana Daladala anaweza kukupiga pasi, kwenye gari yako, mkiita trafiki, akiona haki ni yako, anakupa kosa wewe. Alafu anajifanya kusimama katikati, Wote tembeeni makarekebishe magari yenu wenyewe.
Kwenye zebra ya pale kituo cha baridi wapo jamaa wawili hiyo ndiyo michezo Yao kitambo sana nawajua mpaka majina YaoHuo mchezo ulikuwepo na Magomeni pia
Wajinga hawawezi kuisha laiti kama angekuwa anajua jinsi kero za traffic zipoje asingejibu upuuzi wake....najua utaanza kusema tushajua una gari
basi nikuambie mie dereva tu nawaandesha WAHINDI mshahara 250000/=
haya turudi kwenye MADA kama sio dereva huwezi kujua adha ya TRAFFIC anachosema ndio kipo na hiyo MICHEZO sio hapo tu ipo sehemu nyingi.
Usione watu wajinga walipofurahia yule TRAFICC morocco aitel kuporomoshewa MITUSI ya nguoni na dreva daladala.
Hao jamaa ni wapuuzi AKILI zao zimejaa pesa zaidi kuliko kuongoza magari
Ile mashine ina commision kwa akiyekuandika.Hiyo fine mnampa cash au anawaandikia?
Kama ni cash na mazingira ndiyo hayo, uwezekano wa kuwa mchezo upo!
Kama anaandika fine,then ananufaikaje na waigizaji anawalipaje?
Kuna commission anapewa kwa wingi wa fine alizoandika?
Na wewe ficha ujinga wako kidogo. Kazi yao si ndiyo hiyo ya kuvuka "ZEBRA" au wewe ulitakaje? Wakakae ofisini ndiyo ujue wapo kazini?Acha majungu jomba hao watu hawana kazi ya kufanya mpaka wawekwe na polisi kuvuka zebra.
Acha majungu jomba hao watu hawana kazi ya kufanya mpaka wawekwe na polisi kuvuka zebra.
Aliyekwambia Polisi na Raia ni Ndugu nani.Salaam Wakuu,
Polisi wana mbinu nyingi za kutengeneza mazingira ya Rushwa na kukupiga faini. Huwezi pona kwemye 18 zake.
Sitaki kusema Chuo cha Polisi Moshi (CCP) hawafundishi ila nadhani wanatakiwa kubadili Mitaala yao. Kuna vitu wanavifanya Polisi wetu hadi unajiuliza huko CCP walienda kusoma Ujinga? Polisi wanatakiwa watoe huduma sababu nu Watumishi wa Umma.
Rais Samia kaongeza Mshahara ili mfanye kazi kwa Tabasamu, sasa hasira za nini?
Mfano: Kuna askari pale Stesheni (maeneo ya Central/TRA (kwenye Zebra)) ana watu wake wa kukatiza zile zebra ili apige watu fine. Anaitwa WP 4548 CPL Veronica, ayafanyayo anakosea na kudhalilisha Jeshi letu.
Unaweza kuwapisha watu, atakaa hadi waishe, ukianza kuondoka ghafla utaona anaibuka mtu na kutaka kukatizazebra. Anafanya timing, Ukianza kuondoka anapita anakimbiwa na Vero anakupiga Mkono. Anakuwa na wenzake wawili. Unaulizwa Kwanini huheshimu watumiaji wengine wa barabara? Anakupiga fine.
Mimi ninahofu, wale jamaa wanatengenezwa? Kwanini wao tu ndo wakatize kwa kuchelewa siku zote?
Pili: Polisi wanatakiwa Wasimamishe Magari ili watu wavuke na wakishaisha wawaruhusu muondoke. Lakini wao wanasimama pembeni pale, Nyie madereva Mtajisimamisha wenyewe watu wavuke na wakishavuka mnajiruhusu wenyewe. Hapo ndipo kwenye mtego wa kuliwa hela.
Polisi tunaomba msaada wetu, mtusaidie muwapo kazini. Sababu Polisi kazi sio kupiga fine tu bali hata kutoa elimu ya barabarani kwa watumiaji wa barabara.
Polisi na Raia ni Ndugu, tushirikiane. Tusiishi kama paka na panya.
we kalio kweli,unajua hata umeandika nini hapa!!!Sasa mwenye daladala huyo traffic anakutananae wapi we mama?
najua zaidi yako.Km hujui ni vema ukae kimya ujifunze
Ndo game ya mjini hiyo kama hujui ujueAcha majungu jomba hao watu hawana kazi ya kufanya mpaka wawekwe na polisi kuvuka zebra.
WP 4548 CPL Veronica ni ndugu na RPC wa Mkoa wa Mwanza. Hafanyiwi kitu na IGPSalaam Wakuu,
Polisi wana mbinu nyingi za kutengeneza mazingira ya Rushwa na kukupiga faini. Huwezi pona kwemye 18 zake.
Sitaki kusema Chuo cha Polisi Moshi (CCP) hawafundishi ila nadhani wanatakiwa kubadili Mitaala yao. Kuna vitu wanavifanya Polisi wetu hadi unajiuliza huko CCP walienda kusoma Ujinga? Polisi wanatakiwa watoe huduma sababu nu Watumishi wa Umma.
Rais Samia kaongeza Mshahara ili mfanye kazi kwa Tabasamu, sasa hasira za nini?
Mfano: Kuna askari pale Stesheni (maeneo ya Central/TRA (kwenye Zebra)) ana watu wake wa kukatiza zile zebra ili apige watu fine. Anaitwa WP 4548 CPL Veronica, ayafanyayo anakosea na kudhalilisha Jeshi letu.
Unaweza kuwapisha watu, atakaa hadi waishe, ukianza kuondoka ghafla utaona anaibuka mtu na kutaka kukatizazebra. Anafanya timing, Ukianza kuondoka anapita anakimbiwa na Vero anakupiga Mkono. Anakuwa na wenzake wawili. Unaulizwa Kwanini huheshimu watumiaji wengine wa barabara? Anakupiga fine.
Mimi ninahofu, wale jamaa wanatengenezwa? Kwanini wao tu ndo wakatize kwa kuchelewa siku zote?
Pili: Polisi wanatakiwa Wasimamishe Magari ili watu wavuke na wakishaisha wawaruhusu muondoke. Lakini wao wanasimama pembeni pale, Nyie madereva Mtajisimamisha wenyewe watu wavuke na wakishavuka mnajiruhusu wenyewe. Hapo ndipo kwenye mtego wa kuliwa hela.
Polisi tunaomba msaada wetu, mtusaidie muwapo kazini. Sababu Polisi kazi sio kupiga fine tu bali hata kutoa elimu ya barabarani kwa watumiaji wa barabara.
Polisi na Raia ni Ndugu, tushirikiane. Tusiishi kama paka na panya.
Kama hakuna mtu huna sababu ya kusimama, infact huko first world raia kama amesimama zebra na havuki unaweza pigwa fine ya ku abuse road signs.Kwenye zebra unatakiwa usimame bila kusimamishwa hata kama hamna mtu anaetaka kuvuka ukijiridhisha hamna mtu karibu ndo unaendelea na safari Kama hulijui hilo iko siku utapigwa faini kwa kupita kwenye zebra bila kusimama hata Kama hamna mtu ndo utashangaaa zaidi
Imeshamkuta ndugu yangu kwa huyo mdada. Mimi ilinikuta pale mnara wa askali unapopandisha na Samora avenue just before hiyo keep left ya askali. Ninewapisha watu, lakini ike wameisha nataka kuondoka, kuna mwana kaja anaongea na simu huku anajifanya kuvuka. Mbele kulikuwa na trafic polisi mwanaume akanipiga mkonoSalaam Wakuu,
Polisi wana mbinu nyingi za kutengeneza mazingira ya Rushwa na kukupiga faini. Huwezi pona kwemye 18 zake.
Sitaki kusema Chuo cha Polisi Moshi (CCP) hawafundishi ila nadhani wanatakiwa kubadili Mitaala yao. Kuna vitu wanavifanya Polisi wetu hadi unajiuliza huko CCP walienda kusoma Ujinga? Polisi wanatakiwa watoe huduma sababu nu Watumishi wa Umma.
Rais Samia kaongeza Mshahara ili mfanye kazi kwa Tabasamu, sasa hasira za nini?
Mfano: Kuna askari pale Stesheni (maeneo ya Central/TRA (kwenye Zebra)) ana watu wake wa kukatiza zile zebra ili apige watu fine. Anaitwa WP 4548 CPL Veronica, ayafanyayo anakosea na kudhalilisha Jeshi letu.
Unaweza kuwapisha watu, atakaa hadi waishe, ukianza kuondoka ghafla utaona anaibuka mtu na kutaka kukatizazebra. Anafanya timing, Ukianza kuondoka anapita anakimbiwa na Vero anakupiga Mkono. Anakuwa na wenzake wawili. Unaulizwa Kwanini huheshimu watumiaji wengine wa barabara? Anakupiga fine.
Mimi ninahofu, wale jamaa wanatengenezwa? Kwanini wao tu ndo wakatize kwa kuchelewa siku zote?
Pili: Polisi wanatakiwa Wasimamishe Magari ili watu wavuke na wakishaisha wawaruhusu muondoke. Lakini wao wanasimama pembeni pale, Nyie madereva Mtajisimamisha wenyewe watu wavuke na wakishavuka mnajiruhusu wenyewe. Hapo ndipo kwenye mtego wa kuliwa hela.
Polisi tunaomba msaada wetu, mtusaidie muwapo kazini. Sababu Polisi kazi sio kupiga fine tu bali hata kutoa elimu ya barabarani kwa watumiaji wa barabara.
Polisi na Raia ni Ndugu, tushirikiane. Tusiishi kama paka na panya.
Wanacheza vibubu na vikoba vya kila siku bro,sio wenzio wale usione wanakula vumbi daily.Ninajiuliza sana swali hili- - Kwanini polisi wanapenda sana hela ? Kuna wengine wanapokea hata rushwa ya elfu moja toka kwa wapiga debe. Inanisikitisha.