Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

magomeni wamefanya sana mchezo huo sana tena mpaka mwanajeshi mmoja akawakemea
 
Hizo leseni mlipataje aisee?
Nani alikwambia ukikuta Hamna watu wanaokatisha zebracross unapaswa kupitiliza bila kusimama?
 
Sahii kabisa
 
Wajinga hawawezi kuisha laiti kama angekuwa anajua jinsi kero za traffic zipoje asingejibu upuuzi wake....
 
Hiyo fine mnampa cash au anawaandikia?

Kama ni cash na mazingira ndiyo hayo, uwezekano wa kuwa mchezo upo!

Kama anaandika fine,then ananufaikaje na waigizaji anawalipaje?

Kuna commission anapewa kwa wingi wa fine alizoandika?
Ile mashine ina commision kwa akiyekuandika.
Hata hivyo hao wanaotengenezwa waambiwe sio kila siku ni jumamosi. Hatakuja kupigwa tairi mtu ya kiuno akaulilie na kesi dereva atashinda akiwa na wakili msomi
 
Acha majungu jomba hao watu hawana kazi ya kufanya mpaka wawekwe na polisi kuvuka zebra.
Na wewe ficha ujinga wako kidogo. Kazi yao si ndiyo hiyo ya kuvuka "ZEBRA" au wewe ulitakaje? Wakakae ofisini ndiyo ujue wapo kazini?
 
Huyo afande ndio ana watu wake kuna siku mtu alikuwa anaelekezwa wrong parking na mtu fulani pale then akatokea madame fulani nadhani ndio huyo afande anakuwaga sana pale akamfine jamaa iile ya bila risit( ushaelewa) then baada ya muda yule aliyemuelekeza mwenzie wrong parkn akawa kazunguka na yule afande chobingo
 
Aliyekwambia Polisi na Raia ni Ndugu nani.
We kama hutaki kukamatwa kapike vitumbua.
Bongo askari wakiwafanya Raia ndugu nachambia msasa.
 
WP 4548 CPL Veronica ni ndugu na RPC wa Mkoa wa Mwanza. Hafanyiwi kitu na IGP
 
Kama hakuna mtu huna sababu ya kusimama, infact huko first world raia kama amesimama zebra na havuki unaweza pigwa fine ya ku abuse road signs.
Kuna zebra karibu mia nne( 400) kutoka dar hadi morogoro km 190, imagine kila zebra usimame utafika saa ngapi?
 
Imeshamkuta ndugu yangu kwa huyo mdada. Mimi ilinikuta pale mnara wa askali unapopandisha na Samora avenue just before hiyo keep left ya askali. Ninewapisha watu, lakini ike wameisha nataka kuondoka, kuna mwana kaja anaongea na simu huku anajifanya kuvuka. Mbele kulikuwa na trafic polisi mwanaume akanipiga mkono
 
Ninajiuliza sana swali hili- - Kwanini polisi wanapenda sana hela ? Kuna wengine wanapokea hata rushwa ya elfu moja toka kwa wapiga debe. Inanisikitisha.
Wanacheza vibubu na vikoba vya kila siku bro,sio wenzio wale usione wanakula vumbi daily.
 
We kama raia unayo haki ya kufanya uchunguzi rudia rudia kupita huku ukichukua video kama ni watu hao hao ndio wanaovuka kila mda tayari unao ushahidi, unaupeleka mamlaka husika. Wanaliwa timing kisha wote wanakamatwa yanaunganishwa maelezo then sheria uchukua hatua.

Pia hata kutupia tu huu uzi tayari kama wanafanya hio michezo dili limeshaumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…