Kwani yy ndo aliekwenda kumkamata? Au yy ndo alimweka ndani?Magufuli analaana za wengi sana.
Mahakama zimesaidia nini kukomesha wezi wa nchi hii?Wapelekeni Mahakamani acheni porojo na dua za kuku
Naona mumeanza kuongea kilugha, hii sio Nchi ya Wasukuma peke yao.Nyaanoko
Umefanya utafiti wa kutosha mitaani kulivyo bila mahaba na ukaona maisha ya raia yalivyo magumu na ya hovyo au wewe ni mlamaba viatu?Unamkumbuka wewe na familia yako. Watanzania wako na Mama Samia Suluhu Hassan Rais Bora.
Hakuna raisi, mfalme, mtawala yeyeto tangu kuumbwa kwa dunia ambaye yupo mbinguni wote wapo kuzimu, sababu awakutenda haki,Mungu aliwapa uongozi wakautumia vibaya kumchukiza Mungu.A very touching story.
JPM hakusiki na hicho kilichotokea ndio maana yuko mbinguni kwa Baba yake Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Viungo vya binadamu visiposhughulishwa kwa muda mrefu, vinaharibika!. Zamani kulikiwa na jela za giza, wale wafungwa wakisha achiwa wanakuwa blind.Mkuu hapo hebu kidogo tuweke sawa maana mengi yanayosemwa kuhusu Mandlea kuachana na mkewe. Wapo wanaosema kiwa Winnie alistuka kuwa yule waliemuachia sio Mandela halisi bali ni mtu mwengine. Hebu tusaidie hapa.
huna akili.Wezi wamepata nguvu sana awamu hii.
Pujaga nkimbili ng'wanikiNaona mumeanza kuongea kilugha, hii sio Nchi ya Wasukuma peke yao.
Yaan wanavyoteteana hadi kichefuchefuWezi wamepata nguvu sana awamu hii.
Viungo vya binadamu visiposhughulishwa kwa muda mrefu, vinaharibika!. Zamani kulikiwa na jela za giza, wale wafungwa wakisha achiwa wanakuwa blind.
Wafungwa wa vifungo virefu, wanapaswa kupewa haki iitawayo , conjugal visit, ili kuvipa mazoezi vile viungo!. Mandela hakupewa haki hii!., ila hata sisi Tanzania, haki hiyo ipo vitabuni lakini wafingwa hawapewi, huku kwetu haki hiyo wanapewa mahabusu tuu, yule Blaza wangu alipoisikia, alishangaa sana!, akapiga marufuku,mimi nikashauri Mfungwa ni Binadamu na Haki si hisani! Conjugal Visit sio Starehe, ni Haki halali na stahiki ya Mfungwa!
Hivyo kufuatia Mandela kukosa haki hiyo, baada ya kuachiwa, ikawa hawezi mechi ndefu, yeye kidogo tuu kashiba huku mke ana njaa. Ikawa kila baada ya mlo, Winnie hutoka nje kwenda vyumba vya ma bodyguards kumshibisha!, tatizo likawa sio bodyguard mmoja, mabodyguards wakaanza kugombea!, Taarifa zikafika ofisini, ofisi ikaingilia, kuzuia. Mamaa akafikia stage akawa anatoka nje kwenda kununua, hivyo kumuaibisha Mzee. Mzee akawa hapewi tena chakula ni vi benten vinapishana!. Mzee akaamua bora kumruhusu kuliko kumuaibisha!.
Winnie ili kujitetea akadai huyo sio yule Mandela aliyeingia jela, Mandela halisi alikuwa ni bonge la mchezaji anapiga bonge la show, lakini hiyu ni hakuna kitu!!, hivyo sio yule, amenadilishwa!.
Kiukweli Mandela ni yule yule.
P
Mafukara na maskini mna urithi wa roho mbaya kutoka kwenye familia zenu maskini.Wezi wote lazima wakomeshwe, Kuna siku Hawa kina makamba watapitishwa kwenye Moto, mtakuja hapa kuwaonea huruma
Hivi unadhani magu angekuwa hai ningekaa mwezi mzima bila maji ya dawasa kutoka bombani??? Ni kweli binafsi namkumbuka sana tuSasa hivi anang'ara katika mioyo ya Watanzania. Hakika wanakariri maneno yake kama Sala."mtanikumbuka kwa mazuri" kipofu tu ndio hataona mazuri yake. Hebu tembea mtaani kwa makini usikilize jinsi watu wanavyomkumbuka.
Mkuu WERRA, kiongozi aliyezungumzwa hapo sio JPM, ni JKN, hata hivyo kuzimu sio motoni, jehanum, kuzimu ni pulgatory, watu walioko kuzimu ni wale wanaadhibiwa kisha wanaingia peponi. Hata JPM, sio lazima kuwa aliingia peponi siku ile ile aliyoondoka, alianzia kuzimu ndipo akaingia peponi!, hata Yesu, alipokufa pale msalabani, alishukia kuzimu, ndipo akafufuka siku ya 3!. Hivi tunavyo zungumza usikute marais wetu wote 3, saa hizi wako peponi, mbinguni kwa Baba!, hao wengine, sikuambiwa ila JPM, nimeambiwa yuko peponi!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amaniHakuna raisi, mfalme, mtawala yeyeto tangu kuumbwa kwa dunia ambaye yupo mbinguni wote wapo kuzimu, sababu awakutenda haki,Mungu aliwapa uongozi wakautumia vibaya kumchukiza Mungu.
Its true inaweza kuwa ni stories tuu za vijiweni, ila kuvunjika ndoa ya Mandela na Winnie is a fact, the cause ya kuvunjika kwa ndoa hiyo is an open secrect, hivyo some stories za vijiweni zina ukweli!.Mkuu P.
With due respect, hii ina kila harufu ya ‘stories za vijiweni’.