lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
- Thread starter
- #261
yaan ni aibu kuna kesi nyingine hata wakili huwezi pata maana naye ataonekana hana akili piaMkuu unavyoona adhabu aliyopewa inastahili kwa umri wake?
Askari angemchukulia hatua za kisheria ukafanyika na uchunguzi akalipwa mali yake kungekuwa na haja ya haya yote?
Mimi naona kutoa uhai wa mtu kwa makosa hayo kama hakuna ulazima, ni kujitafutia hatia zisizo na ulazima. Bora hata angefanya ujambazi na kuiba vitu vya thamani sawa, lakini kuku anatoa uhai wa mtu?
Haiingii akilini ndugu.