TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

Sio kwamba wewe ndo huna akili hata robo,angalia niliyemkwote na baadae na wewe ukaingilia bila kufahamu Nani alikuwa anajibiwa.

Waambie ndugu zako wakupe uangalizi wa Hali ya juu,muda si mrefu utaokota makopo

 
Duuh maskini
 
Sio kwamba wewe ndo huna akili hata robo,angalia niliyemkwote na baadae na wewe ukaingilia bila kufahamu Nani alikuwa anajibiwa.

Waambie ndugu zako wakupe uangalizi wa Hali ya juu,muda si mrefu utaokota makopo

View attachment 2079621
Nilishaliona hilo kitambo wewe ungekuwa timamu ilikuwa uache kumjibu ili uheshimu situation tuko nayo hapa kwenye mjadala badala yake umejibu ujinga na unazidi kudhihirisha ujinga wa kuweka mapicha ya siasa.

Poor you!
 
nakumbuka kuna jamaa flani muimbaji wa msondo nae alifia kwenye siti ya mbele ya daladala mwenge stend pale
 
Sote ni wa Mungu na sote tutarejea kwake.
 
nakumbuka kuna jamaa flani muimbaji wa msondo nae alifia kwenye siti ya mbele ya daladala mwenge stend pale
Ilikuwa pale Temeke hospital mkuu enzi za vi-hiace jina lake akiitwa John Maina,asubuhi ya saa tatu ilijulikana amefariki baada ya aliyekuwa amekaa pembeni yake kutaka kushuka na kumuomba ampishe akawa ha-respond kumbe alishaondoka muda.

Kifo kipo tuishi kwa nidhamu.
 
Apumzike kwa Aman aseee so Sad!. Hapo kavuka barabara vizuri asigongwe halafu anafia mlangoni😔
Uhai wa mwanadamu ni fumbo, kikubwa tuupokee ukweli wa kwamba muda wowote unaweza kuondoka bila kujalisha U wapi na unafanya nini.
Uhai wa mwanadamu Ni fumbo.
Well said
Sijui Kama CCM wanalijua hili
 
kamilisha habari.

Hii tabia ya kugombania magari na siti za kukaa kwenye daladala au costa inapoingia stendi au popote ni tabia mbovu sana.

kuna siku tulikuwa pahala tunasubiri gari aise!!!! ilipoingia watu wanakimbizana kwa nguvu zote na kugombania waingie huku gari ikiwa bado ipo kwenye mwendo, afu ni kundi kubwa la watu.

nilikaa pembeni nikatafakari na kujiuliza sana maswali mengi. Yani hata itokee sasahivi niko stendi, siwezagi gombania magari, heri ukeshe kuliko kuumizwa vibaya au kufa kabisa.

Hivi mnapogombania gari likiwa kwenye mwendo ikatokea mtu kaanguka tairi ikampitia kichwani na ukute ni wewe itakuaje?

Hivi hatakama gari imesimama, ninyi mnaigombania, ukianguka ukakanyagwa na kundi la watu wote hao na ukute ni wewe itakuaje?

wakati mnakimbizana kupanda gari watu hutumia nguvu sana, mtu anakimbia huku anarusha mikono, ukapigwa ngumi ya uso na ukute ni wewe itakuaje?

haya mambo heri uwe mstaarabu kuepusha majanga. Kaa pembeni kabisa wanaogombania wasije wakakupamia, wasio waelewa waache wagombanie siku la kuwakuta likiwakuta ndo akili itawakaa sawa.
 
Mimi huwa nawaza wagonjwa. Kuna watu wanatembea na donda kubwa labda la cancer ya titi ila kwakuwa kavaa nguo halionekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…