TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

Halafu mpuuzi mmoja anapita kifua wazi akinanga wenye Passo zao, tuwe na heshima na magari ya binafsi jamani. Pole kwa familia.
 
Hilo halina tofauti na kifo chochote Cha gafla Maana itakuwa alipata mshituko wa moyo au pressure au sukari ilikuwa juu sana Ni muhimu kupata elimu ya namna ya kufahamu miili yetu vizuri kuanzia mtu unapotoka nyumbani usichukulie POA kabisa ..sukari inau watu wengi Sana saiv

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuwa mpinzani nchi hii Ni kupoteza muda,viongozi wa upinzani hawaelewiki,maana ni wabinafsi na wenye uchu wa madaraka.

Shituka mkuu !! Karibu CCM , nitafute PM nikupe kadi ya chama.View attachment 2079693
Siwezi kwenda kwenye chama ambacho kimetoa Rais wa nchi anaehamasisha ufisadi.Nitakuwa nina laana😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
al mawtu ya'tii baghtatan /Death comes untimely....
Mungu Ajaalie Kaburi lake liwe Viwanja Kati ya Viwanja vya Peponi.
 
Uyu jamaa sijui CCM imemfanyia Nini [emoji2]
Mkuu we huioni hii laana ya ccm kwa hii nchi..60 years tunajengewa vyoo kwa hisani..barabara za vumbi..elimu duni..tatizo la ajira..ufisadi na mafisadi yapo bungeni na serikalini yanachekelea tu..huduma mbovu mahospital..hakuna majinsafi na salama kwa wananchi..umeme shida..tozo kila kona..hakuna haki wala demokrasi..hakuna uhuru wa mihimili..kila taasisi imekua ccmlization..umasikini unaongezeka..wakulima hawana uhakika na soko.

Ni mengi hayo kwa uchache tu..kiufupi hii nchi inahitaji reformationa kubwa sana..ya uongozi..ebu jiulize kwanini mabadiliko ya katiba ccm hawataki.?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, maisha ya Dar hatari sana.
 
Mkataba wa serikal na mwendokas ambao wanalipia gharama za kutumie barabara ya mwendo kas na vituo vyake kwa siku ambayo ni kama 9m hiv...mkataba ulitaka daladala zipunguzwe ili mrad ufanye kaz
 
Kwahyo unataka kusema nin rais ndo kasababisha kifoo mfyuuuu
Kwa mara ya kwanza tokea nizaliwe nimemuona Rais wa nchi akihamasisha ufisadi kwa serikali yake katika TV ya Taifa😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Atakuwa yule MATAGA mwenye id CM...manambanamba mpaka asubuhi.Huwa anaandika kusifia huku amepiga magoti nadhani!
Kwa mara ya kwanza tokea nizaliwe nimemuona Rais wa nchi akihamasisha ufisadi kwa serikali yake katika TV ya Taifa!😁😁😁

Anawaambia wajipimie😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…