TANZIA Afariki dunia akigombea usafiri kituo cha daladala Makumbusho

So sad, Mungu atupe mwisho mwema
 
Apunzike kwa Amani
 
Unakuta mtu ujala, joto,hamna michingo, hasira na stress.. Sasa unapambana upate siti usije shika bomba hadi Bunju.. dah
 
Halafu baadae utaona uzi wa MATAGA ukisema:"Samia aipaisha Tanzania katika maendeleo ya uchumi wa kati"😁😁😁
Wakati huohuo mbowe naye anaendelea kupigiliwa na manyapala Kule gerezani na kibatala anawinda mkewe Kule home kwake
 
Mkataba wa serikal na mwendokas ambao wanalipia gharama za kutumie barabara ya mwendo kas na vituo vyake kwa siku ambayo ni kama 9m hiv...mkataba ulitaka daladala zipunguzwe ili mrad ufanye kaz
Hapo ndipo walipotengeneza tatizo lingine
 
Wakati huohuo mbowe naye anaendelea kupigiliwa na manyapala Kule gerezani na kibatala anawinda mkewe Kule home kwake
Kwa mara ya kwanza tokea nizaliwe nimemuona Rais wa nchi akihamasisha ufisadi kwa serikali yake katika TV ya Taifa😁😁😁

Anawaambia mawaziri wake kuwa wajipimie😁
Your browser is not able to display this video.
 
nakumbuka kuna jamaa flani muimbaji wa msondo nae alifia kwenye siti ya mbele ya daladala mwenge stend paleAaliyah aaliyah

Kwa mara ya kwanza tokea nizaliwe nimemuona Rais wa nchi akihamasisha ufisadi kwa serikali yake katika TV ya Taifa😁😁😁

Anawaambia mawaziri wake kuwa wajipimie😁View attachment 2079834
Mama ana kijungu kinachotaka kupwaga, kijungu kinapwaga sasa
 
 
Ujue serikali yetu inapwaya.!

Nimeshaa hadi akina mama bush kwetu wanashangaa madudu ya mtawala mwanamke.
 
Halafu Eti Kuna watu kitoka Mataifa mengine wanakuja kujifunza Ubora wa DART!
AFRICA Kuna sehemu tunahitaji maombi!
 
Njaa ni hatari sana , uchunguzi wangu umebaini kwamba zaidi ya 75% ya wakazi wa DSM hawana uhakika hata wa mlo mmoja .
 
Joto kali mtu hajanywa maji kuanzia asubuhi mpaka jioni na hapo katoka kufanya kazi ngumu za wahindi & wachina

Unakuta mtu kanywa chai tu asubuhi, hajala mchana ili kuserve hela hapo unafikiri utapata nguvu za kugombania daladala za gongo la mboto au mbagala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…