AFCON 2027: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji

Qumaaaaa Kibuyu
 
Luka eeeeeh hebu tupumzishe kaka. Unatia kinyaa sometimes.

Sio dhambi kumsifu mama au Rais ila usijivue nguo.

Shida we umeweka jina lako. Unawatia aibu familia yako na ndugu zako
 
Mimi naandika namna Taifa letu litakavyofaidika na michuano hii,kwa hiyo kama unaona huku ni kujipendekeza polee sana ndugu yangu maana utaendelea kuumia sana michuano hiyo itakapoanza hapa nchini.
Unaboa ujue

Bora basi kama tungekuwa wenyewe. Sasa na hao Kenya na Uganda wao wametoa ushawishi gani ?!.

Punguza kama kukuona wameshakuona labda huna qualification
 
jitu kama lukasimwashamba likipata uongozi ndio linaona kilamtu chiniyake mjinga.litajiona liposahihi kwakila kitu

jituhalijawahi kujana uzi wakulalamikia hudumambovu hatamoja Bali linasifia tuu.
 

Kweli ni kishindo cha upumbavu wako
 
Ukimpa mimba mkeo (kama unaye na kama una uwezo wa kumpa mimba) uje hapa uandike hapa kuwa ni sababu ya Mh. Rais!
 
Ingekuwa Tanzania pekee ni poa sana ila sisi hatuna kifua hadi tuombe kweli na Kenya na Uganda? Kwa nini tusiombe wenyewe kama taifa kubwa? Mbona mataifa mengine yanaomba yenyewe kam Aftika Kusini 2010?
 
We msifu tu lakini hupewi hata uwenyekiti wa kitongoji 2024!
Hapana ndugu yangu mimi sitafuti uenyekiti wa kijiji hapa na wala uenyekiti wa kijiji haupatikani hapa jukwaani na kama unataka huo uenyekiti basi nenda kagombee huko.
 
Ingekuwa Tanzania pekee ni poa sana ila sisi hatuna kifua hadi tuombe kweli na Kenya na Uganda? Kwa nini tusiombe wenyewe kama taifa kubwa? Mbona mataifa mengine yanaomba yenyewe kam Aftika Kusini 2010?
Katika michezo hilo ni jambo la kawaida ndugu yangu na yapo mataifa mengi tu yamewahi kufanya kama sisi kuandaa michuano mikubwa ya kama ya kombe la Dunia kwa kushirikiana na majirani zao.
 
Acheni roho za kishetani hizo ndugu yangu.najuwa wengine kama wewe mnaumia kuona serikali ya Rais samia nikipata mafanikio kama haya ,ambayo yataliletea heshima Taifa letu.
Hiyo heshima inayopata Taifa inakupa wewe ugali, umeme, maji, afya bora na matibabu ukiugua!!??
Hiyo heshima inamuondolea Mtanzania mateso yote ayapatayo tangu tupate uhuru!!??
 
na uzuri watanzania wote macho yetu yako uchumi wa blue
 
Lucas tafuta hela aisee. Huu uchawa ni wa kipumbavu sana. Yaani wewe ni chawa mjinga na familia yako imepata hasara sana. Nawahurumia watoto wako wakija.kusoma huu utumbo wako siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…