Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faiza huyu huyu tunaepiga nae story humu? Kuna uzi humu (I think it was JK' s time aliombaga hadi tumtongoze)Mashallah, huku ilitakiwa tumpeleke FaizaFoxy 😌
Ili uwe mwisalmu kamili inatakiwa uwehuke kwanza...
Haiingii akili eti mwanaume usinyoe ndevu ...si uchafu huo
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.
Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.
Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.
View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19
SawaUwongo! Taliban ndio wanaonesha sura halisi ya uislam
Nadhan nimeshajibu tayarKwa nini utumie lugha za kudhani...na kitabu mnasema kinajitosheleza !?? Hivyo Quran haina sababu Kwa nini walikuwa wanaongea nyuma ya pazia!?? Quran wanayotumia Taleban ni hiihii au kuna nyingine isemayo mwanamke hatakiwi kuongea na mwanamke mwenzake zaidi ya Mume!??
Noma sana!Ukizidiwà kula usife.
Huku ulaya nani atake upumbavu huo?Islam did it...............tena they want a Sharia............hivi miaka ile kibongo bongo pia si nilisikia mlikuwq mnaitaka Sharia?? Bado mnaitaka tuwape??........na Sharia kwa ulaya hata iweje haiwezi kutokea ..............
Kina nani?Hii utowaona humu kamwe
Walaaaa!!! Wanatumia tu Quran na hadith. Yaani kifupi yule Allah wao ndio anataka hivyoHao Taleban lazima wanatumia bangi na aina nyingine ya madawa ya kulevya.Si bure.
Mudi alifaa anyongwe hadi kufa kwa kubaka mtoto wa miaka6Mudi aliwapoteza sana hawa watu
Mudi apigwe mawe kabisa
Quran ni bangee toshaHao Taleban lazima wanatumia bangi na aina nyingine ya madawa ya kulevya.Si bure.
WamweogwaUtashangaa wanakuja London kudai hiyo "sharia" nayo iwepo hawa watu sijui wamerogwa
Ngoja waje utakomaIla kobazi hapana kwa kweli. Haaaah
Mkuu sioni tofauti kati ya Taleban na matendo ya mtume MohammedHao talibani kuna mambo wanafanya ambayo sio katika sheria za kiislamu kabisa au kinyume na uislamu,kama mtu anauona uislamu kupitia talibani hakika hatapata uislamu sahihi,hao asilimia kubwa mambo yao kama wanaharakati
Uislamu haujakataza wanawake kuongea na wanawake wenzao na wala si sunna ya Mtume wala maagizo ya Allah. Wake za Mtume tu walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia katika kuwaelekeza mambo fulani fulani ya dini,kama hiyo haikuruhusiwa je ilikuwaje wakeze wakafanya hivyo?
Kuhusu wanaume kunyoa nywele au ndefu wanaruhusiwa sana,ila si katika uislamu sijui kunyoa kiduku na stahili za ajabu ajabu,kama unaondoa nywele zote basi ondoa na kama unanyoa kawaida basi nyoa kwa heshima
Kuhusu kufuga ndevu hiyo ni sunna sio lazima kwa wanaume kufuga ndevu,ingawa ni bora kufuata sunna ya Mtume,binafsi nanyoa ndefu,sio agizo la lazima la dini
Kuhusu wanawake kwenda saluni,wanawake wanatakiwa kujipamba kwa ajili ya waume zao,wapendeze na wanoge,ila naona kuna namna labda hizo saluni zimeonekana ni sehemu ambazo kuna ajenda nyingine zinafanyika
Kuhusu wanawake kuongea kwenye redio au television,kwa mfano katika tv yapaswa mwanamke ajistiri anapokuwa hewani na si kuwa uchi kwa mujibu wa uislamu,kuhusu kuongea kwenye redio,hiyo hata huku Tanzania kuna redio moja Redio imani nayo kipindi fulani fulani walikataza lakini wakapewa hoja mbona wake za Mtume Muhammad (s.a.w) walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia,kwahiyo hapo hoja nzito ilipatikana
Kwahiyo si kila linalo fanywa na hivi vikundi vyenye misimamo mikali ni uislamu bali mengine ni taratibu zao binafsi
Asante