Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Raia wa Afghanistan wanachomwa moto kabla hawajafika jehanamu kwa shetani chini ya utawala wa Taliban.
 
Mashallah, huku ilitakiwa tumpeleke FaizaFoxy 😌
Faiza huyu huyu tunaepiga nae story humu? Kuna uzi humu (I think it was JK' s time aliombaga hadi tumtongoze)

Anyway; kuna vitu Waislamu you need to change, tumieni elimu yenu kuwatoa hapo mlipo; kwamba Talebani walipigana over 20 years ilikuja kufanya haya? Stupid, yaani kunyoa nywele na ndevu, wanawake kuwasiliana ndio tatizo la jamii ya watu wa Afghanistan? Interesting. Sawa sawa tu na Waislamu wa bongo, wakipewa nafasi ya kwenda kutoa mawazo yao serikalini, wataomba vitu vya kipuuzi sana, halafu Wakristo waki present hoja zao za maana, same Waislamu wanalalamika tena. Enzi za Mkapa, aliwaitaga but guess what they demanded? Wanafunzi na wafanyakazi wa kike wa Kiislam waruhusiwe kuvaa HIJABU mashuleni na makazini, stupid kabisa. Same wanawake hawa hawa, wakitoka kazini, wanavaa kama wanawake wengine, tukiwaita waje guest house kufanya nao matusi, wanavaa hijabu tena ili wasijulikane? Pumbafu.
Haya, kwenye issues za katiba mpya, wameitwa tena, this time nilishangaa sana, mwana sheria kabisa wa Bakwata, yaani msomi kabisaa yaani; takwa la Waislamu alilolipeleka kama ombi na likae kwenye katiba ni " Waruhusiwe kuoa msichana soon atakapo VUNJA ungo" Interesting, yaani changamoto yao ni hiyo kuruhusiwa kuoa vitoto vya miaka 13-14, watoto hao hao wasiposoma, wanalaumu tena "mfumo Kristo"
Kuna tatizo somewhere na hi dini
 
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.

Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.

Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.


View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19

Ila kobazi hapana kwa kweli. Haaaah
 
Kwa nini utumie lugha za kudhani...na kitabu mnasema kinajitosheleza !?? Hivyo Quran haina sababu Kwa nini walikuwa wanaongea nyuma ya pazia!?? Quran wanayotumia Taleban ni hiihii au kuna nyingine isemayo mwanamke hatakiwi kuongea na mwanamke mwenzake zaidi ya Mume!??
Nadhan nimeshajibu tayar
 
Hao talibani kuna mambo wanafanya ambayo sio katika sheria za kiislamu kabisa au kinyume na uislamu,kama mtu anauona uislamu kupitia talibani hakika hatapata uislamu sahihi,hao asilimia kubwa mambo yao kama wanaharakati

Uislamu haujakataza wanawake kuongea na wanawake wenzao na wala si sunna ya Mtume wala maagizo ya Allah. Wake za Mtume tu walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia katika kuwaelekeza mambo fulani fulani ya dini,kama hiyo haikuruhusiwa je ilikuwaje wakeze wakafanya hivyo?

Kuhusu wanaume kunyoa nywele au ndefu wanaruhusiwa sana,ila si katika uislamu sijui kunyoa kiduku na stahili za ajabu ajabu,kama unaondoa nywele zote basi ondoa na kama unanyoa kawaida basi nyoa kwa heshima

Kuhusu kufuga ndevu hiyo ni sunna sio lazima kwa wanaume kufuga ndevu,ingawa ni bora kufuata sunna ya Mtume,binafsi nanyoa ndefu,sio agizo la lazima la dini

Kuhusu wanawake kwenda saluni,wanawake wanatakiwa kujipamba kwa ajili ya waume zao,wapendeze na wanoge,ila naona kuna namna labda hizo saluni zimeonekana ni sehemu ambazo kuna ajenda nyingine zinafanyika

Kuhusu wanawake kuongea kwenye redio au television,kwa mfano katika tv yapaswa mwanamke ajistiri anapokuwa hewani na si kuwa uchi kwa mujibu wa uislamu,kuhusu kuongea kwenye redio,hiyo hata huku Tanzania kuna redio moja Redio imani nayo kipindi fulani fulani walikataza lakini wakapewa hoja mbona wake za Mtume Muhammad (s.a.w) walikuwa wanaongea na wanaume nyuma ya pazia,kwahiyo hapo hoja nzito ilipatikana

Kwahiyo si kila linalo fanywa na hivi vikundi vyenye misimamo mikali ni uislamu bali mengine ni taratibu zao binafsi

Asante
Mkuu sioni tofauti kati ya Taleban na matendo ya mtume Mohammed
 
Amri Kumi za Torati alizokabidhiwa Nabii Musa zote alizivunja, hapo unategemea matokeo gani ?
Yaani Mungu amtume Nabii wake ili azivunje Amri zake.
Inaingiaje akilini.
Matokeo yake ndio hayo, mimi wala sishangai mambo ya Taleban.
Na Bado mtasikia mengine ya ajabu zaidi.
 
Back
Top Bottom