ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,698
- 4,488
Uislamu ulikujaje ? Sawa ukristu ulikuja na ukoloni!Uislam mbona upo Tanzania kwa miaka mingi sana hata kabla ya ukristo kuja na wakoloni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uislamu ulikujaje ? Sawa ukristu ulikuja na ukoloni!Uislam mbona upo Tanzania kwa miaka mingi sana hata kabla ya ukristo kuja na wakoloni?
Uislam haujaja, labda uwe hujuwi maana ya Uislam.Uislamu ulikujaje ? Sawa ukristu ulikuja na ukoloni!
Mfano wa haya;Makatazo yepi unaongelea?
Ingekuwa vema kama ungefafanua. Kama Uislamu haujaja/haujaletwa. Je, ilikuwaje hata ukawepo? Ulitokea wapi au chanzo chake ni nini?Uislam haujaja, labda uwe hujuwi maana ya Uislam.
Kwahiyo kuwa na maupele makubwa kama fenesi mpaka shingoni kutokana na kunyoa ndevu ndo usafi? halafu unanyoa ndevu ili ufanane na nani wasiokuwa na ndevu?.Ili uwe mwisalmu kamili inatakiwa uwehuke kwanza...
Haiingii akili eti mwanaume usinyoe ndevu ...si uchafu huo
Jeshi linalovaa kanzu kule gazaUna mainisha wale jamaa wenye alama nyeusi kwenye paji la uso?
Khaa embu fafanua mavyojua uislamu ulikuja na Ngalawa naona wewe una maono tofauti!!!Uislam haujaja, labda uwe hujuwi maana ya Uislam.
Ndivyo ulivyodanganywa na waliokufanya kondoo.Khaa embu fafanua mavyojua uislamu ulikuja na Ngalawa naona wewe una maono tofauti!!!
Jibu swali kwanin unasema dini ilikuwepo ilihali ilikuja na majahazi ndio maana ikaishia ukanda wa pwani haikuingia bara kwa sababu wenye dini yao pia hawakuingia sana baraNdivyo ulivyodanganywa na waliokufanya kondoo.
Nani alikufundisha hayo au unaota tu?Jibu swali kwanin unasema dini ilikuwepo ilihali ilikuja na majahazi ndio maana ikaishia ukanda wa pwani haikuingia bara kwa sababu wenye dini yao pia hawakuingia sana bara
Wabantu walikuja east Africa wakawakuta wawindaji jamii za hazabe na wakoningo hukawii kusema waliwakuta waarabu!! Maana mmelishwa sumu madrasat na masheikh standard 7.Nani alikufundisha hayo au unaota tu?
Unafahamu kuwa kabla ya ujio mjerumani kulikuwa kuna utawala bara lote hili? Ulikuwa unaitwaje huo utawala?
Unajuwa kuwa wabantu walikuja pwani ya mashariki ya Afrika?
Huwa sikisii.Wabantu walikuja east Africa wakawakuta wawindaji jamii za hazabe na wakoningo hukawii kusema waliwakuta waarabu!! Maana mmelishwa sumu madrasat na masheikh standard 7.
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.
Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.
Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.
View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19
Uislamu ndio dini pekee ambayo imekataza uchafu, ndevu si uchafu mkuu zinasafishwa na kuwa safi kabisa mama watoto anachezea chezea burdan kabisa na ndio uanaume huoIli uwe mwisalmu kamili inatakiwa uwehuke kwanza...
Haiingii akili eti mwanaume usinyoe ndevu ...si uchafu huo
unavyozungumzia Sharia ya kiislam sio zile ambazo zimekuwa implemented na mwanadamu, Sharia za kiislam ametuletea mwenyewe muumba na zipo katika mafundisho ya Quran na Khadithi za Rasulu S.A.W,Islam did it...............tena they want a Sharia............hivi miaka ile kibongo bongo pia si nilisikia mlikuwq mnaitaka Sharia?? Bado mnaitaka tuwape??........na Sharia kwa ulaya hata iweje haiwezi kutokea ..............
Ata kama wewe sio muislam unatakiwa kuheshimu Imani ya mwenzako na wala sio kukebehi na hii itakusaidia hapo baadae kwasababu bado hujajua mwisho wako itakuwaje. ni vuzir uweke akiba.Mudi aliwapoteza sana hawa watu
Mudi apigwe mawe kabisa