Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Afghanistan: Talibani imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Marufuku mwanamke kuongea na mwanamke mwenzie

Makatazo yepi unaongelea?
Mfano wa haya;
1. Wanaume kupigwa marufuku kunyoa ndevu/nywele
2. Kupiga marufuku wanawake/watoto wa kike kwenda shule kusoma
3. Marufuku ya wanawake kufanya kazi za ofisini. nk
4. Wanawake kutoruhusiwa kupiga soga baina yao au kubadilishana mawazo.
 
Ili uwe mwisalmu kamili inatakiwa uwehuke kwanza...

Haiingii akili eti mwanaume usinyoe ndevu ...si uchafu huo
Kwahiyo kuwa na maupele makubwa kama fenesi mpaka shingoni kutokana na kunyoa ndevu ndo usafi? halafu unanyoa ndevu ili ufanane na nani wasiokuwa na ndevu?.
 
Ndivyo ulivyodanganywa na waliokufanya kondoo.
Jibu swali kwanin unasema dini ilikuwepo ilihali ilikuja na majahazi ndio maana ikaishia ukanda wa pwani haikuingia bara kwa sababu wenye dini yao pia hawakuingia sana bara
 
Jibu swali kwanin unasema dini ilikuwepo ilihali ilikuja na majahazi ndio maana ikaishia ukanda wa pwani haikuingia bara kwa sababu wenye dini yao pia hawakuingia sana bara
Nani alikufundisha hayo au unaota tu?

Unafahamu kuwa kabla ya ujio mjerumani kulikuwa kuna utawala bara lote hili? Ulikuwa unaitwaje huo utawala?

Unajuwa kuwa wabantu walikuja pwani ya mashariki ya Afrika?
 
Hao hao baada ya mateso hayo kwenye nchi yao.. wataonbabhifadhi ulaya na watapewa.

Baada ya kukaa kwa muda wakizoea mazingira wataleta fujo na watadai tena zilezile SHARIA LAWS walizozikimbia.
Basi tu ili mradi tafrani.
Cc MK254 hawa ndugu zangu wanashida gani?
 
KIPO WANACHOKIOGOPA NDIO MAANA YA SHERIA ZA AJABU AJABU. ila kile unachokiogopa na kuhofu HOFU Kuna siku atakipata
 
Nani alikufundisha hayo au unaota tu?

Unafahamu kuwa kabla ya ujio mjerumani kulikuwa kuna utawala bara lote hili? Ulikuwa unaitwaje huo utawala?

Unajuwa kuwa wabantu walikuja pwani ya mashariki ya Afrika?
Wabantu walikuja east Africa wakawakuta wawindaji jamii za hazabe na wakoningo hukawii kusema waliwakuta waarabu!! Maana mmelishwa sumu madrasat na masheikh standard 7.
 
Wabantu walikuja east Africa wakawakuta wawindaji jamii za hazabe na wakoningo hukawii kusema waliwakuta waarabu!! Maana mmelishwa sumu madrasat na masheikh standard 7.
Huwa sikisii.

Naamini wabantu ni wakuja ma sayansi inaniunga mkono, watu walitokea kwetu wakaenda huko ambako sasa kunaitwa Arabuni. Siyo wabantu lakini.

Umeyaona magofu ya Kilwa na jiji la chini ya bahari la Kilwa na magofu ya Kaole?

kama hujayaona, tumia hata google kuyatafyuta na hilo jiji likiitwa TRaptha. Kuna jina la Kibantu na la Kihadzabe linalofanana na Raptha? Hao wahadzabe wana majengo ya kale?

Wabantu walikuja kutokea magharibi wakawa wapo wapo tu.

Hat historia ya karibuni tu. Iban Batuta alikuta miji na watu wameendelea, kina nani hao? Vasco d Gama alikuta jiji na watu wameendelea hapo Kilwa na Sofala, kina nani hao?

Nakushauri fanya hgomework yako.
 
Kwahiyo mashindano ya Olympic hawaangalii kabisa.
Wanaogopa mavazi ya wanamichezo wa Kike.
 
Serikali inayoongozwa na Talibani nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kuongea ama kubadilishana mawazo. Ni marufuku wanawake kuongea na mwanamke mwezake na kumuelezea mawazo ama maoni yake.

Khalif Hanif, waziri wa tabia njema na mwenendo mwema katika jamii amesema ni marufuku wanawake kuongea wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni kinyume na mafundisho ya kiislamu hasa ya Mtume na Allah. Mwanamke aongee na mumewe tu.

Kumbuka hivi karibuni Talibani ilipiga marufuku saluni za kike na za kiume na kutangaza kwamba ni marufuku kwa mwananchi wa Afghanistan kunyoa nywele na ndevu kwani ni kinyume na mafundisho ya kiislamu. Pia Talibani ilipiga marufuku wanawake kupiga simu redioni ama mwanamke kuongea sauti yake ikasikika public.


View: https://x.com/HabibKhanT/status/1850241627530424578?s=19

huenda umefahamu kiingereza vibaya hao wamekatazwa makundi,
 
Ili uwe mwisalmu kamili inatakiwa uwehuke kwanza...

Haiingii akili eti mwanaume usinyoe ndevu ...si uchafu huo
Uislamu ndio dini pekee ambayo imekataza uchafu, ndevu si uchafu mkuu zinasafishwa na kuwa safi kabisa mama watoto anachezea chezea burdan kabisa na ndio uanaume huo
 
Islam did it...............tena they want a Sharia............hivi miaka ile kibongo bongo pia si nilisikia mlikuwq mnaitaka Sharia?? Bado mnaitaka tuwape??........na Sharia kwa ulaya hata iweje haiwezi kutokea ..............
unavyozungumzia Sharia ya kiislam sio zile ambazo zimekuwa implemented na mwanadamu, Sharia za kiislam ametuletea mwenyewe muumba na zipo katika mafundisho ya Quran na Khadithi za Rasulu S.A.W,

Sasa ikiwa wako ambao wamezifahamu vibaya katika kutekeleza kwake si jukumu la Sharia hizo, Zipo nchi duniani wanatekeleza hizo sharia miaka nenda miaka rudi na lengo la hizo sharia sio kukandamiza ni kwa maana ile ile tu ya kumcha Mungu mola wa viumbe aliyetuleta hapa duniani.

Katika uislamu hakuna haja ya kwenda Beijing kupewa sheria mpya kila siku inapobidi, Sharia za kiislam zipo tu na hazibadiliki kwa mujibu wa kitabu chetu kitukufu na mafundisho ya Mtume S.A.W.

Kama hukufurahishwa jibu hili nakuomba sana kaa kimya usijibu matusi ama kukashifu.
 
Mudi aliwapoteza sana hawa watu

Mudi apigwe mawe kabisa
Ata kama wewe sio muislam unatakiwa kuheshimu Imani ya mwenzako na wala sio kukebehi na hii itakusaidia hapo baadae kwasababu bado hujajua mwisho wako itakuwaje. ni vuzir uweke akiba.
 
Back
Top Bottom