Mkuu usiambiwe roho nitamu, huyo hapo anafikiri alipo juu ya paa la ndege, anaweza akasafiri hadi marekani bila kudhurikaSasa mtu amekaa juu ya ndege inamaana hajui kama ataanguka.? Au ndo kichwani socket imechomoka
Anajua hakunaga bums.Sasa mtu amekaa juu ya ndege inamaana hajui kama ataanguka.? Au ndo kichwani socket imechomoka
Anajua hakunaga bums.
Kweli maisha magumu ila matamu aisee 😂😂😂Mkuu usiambiwe roho nitamu, huyo hapo anafikiri alipo juu ya paa la ndege, anaweza akasafiri hadi marekani bila kudhurika
Hao ni wale walikuwa vibaraka wa usaKaribu ya wa AFGHAN 10,000 wapo uwanja wa ndege kuiacha nchi kwa kunusuru maisha yao zidi ya watawala wapya wa TALIBAN waliochukua nchi.
Ikiwa maafisa wa uwanja wa ndege za Kiraia nao wametoroka, waliopo hapo ni wanajeshi wa USA tu, nidhamu na utengamano hamna! na baadhi ya ndege za jeshi za USA zinazo tua hapo, hudandiwa mithili ya daladala za Mbagala-Kariakoo, na maafa hutokeaView attachment 1895387View attachment 1895388View attachment 1895389View attachment 1895390View attachment 1895391View attachment 1895392View attachment 1895394
Nmeshatoa maelekezo kwa serikali kupeleka ndege zote wanazomiliki kuchukua wanawake tuu wote kuanzia miaka 15-40Maafisa wa uwanja wa ndege wote walishasepa, hapo hakuna wa kukuuliza tiketi wala passport, ni nguvu zako tu kudandia.
[emoji16][emoji16][emoji16] jamaa kweli kipofu
HehheheheMaafisa wa uwanja wa ndege wote walishasepa, hapo hakuna wa kukuuliza tiketi wala passport, ni nguvu zako tu kudandia.
Lakini mimi hainishangazi hawa wa Afghanistan kudandia ndege, sababu jamii hizi za wahindi(Afghanistan,pakistan,hindia,) zina asili ya udandiaji. Angalia picha...Kuna wengine walidandia pemben asa unajiuliza wanataka kujiokoa au wanajiua
Sio uzito mara 5,imebeba abiria zaidi ya mara tano kwa uwezo wake wa kawaida inavyobebaga abiria,kuna idadi ya abiria na mizigoHiyo ndege imekuwa ya mwendokasi sasa, maana limebeba uzito x5 ya kawaida yake
Na rubani akakubali na ikapaa du
Kuna movie zingine hazihitaji popcorns kabisa [emoji23][emoji23]
Ni story za huu ulimwenguSioni hata mmoja aliyevaa barakoa
Iwe endelevuFemale journalists returned to work on the second day of the Taliban rule. So far, women are seen conducting live broadcasts from the streets of Kabul. Traffic is back to normal and Taliban is patrolling the streets. People are going back at work. https://t.co/EoEdUNykBM
Imewabeba na imeenda kuwaacha QatarMkuu kwaio ilienda tupu?
Ilikuwa na askari wa kutosha tena wenye silaha za maana kwa ajili ya kuwaokoa wafanyakazi wa ubalozini
Jamaa waliachwa solembaView attachment 1895333
Una video yake au ni ile picha tuImewabeba na imeenda kuwaacha Qatar
Yaan nimecheka. Wanaijua ndege hawa?Sasa mtu amekaa juu ya ndege inamaana hajui kama ataanguka.? Au ndo kichwani socket imechomoka
Wanadhani ni bus la Mkoani unakaa hata chini ya gari pembeni ya tairiYaan nimecheka. Wanaijua ndege hawa?