#COVID19 Afisa Elimu Mkoa wa Arusha na Muuguzi waliofanya maigizo ya chanjo wasimamishwe kazi mara moja

#COVID19 Afisa Elimu Mkoa wa Arusha na Muuguzi waliofanya maigizo ya chanjo wasimamishwe kazi mara moja

Jana katika shule moja ya msingi hapa zilipelekwa chanjo
Hahah!!
watoto kusikia kuwa ni chanjo
wakapita madirishani, wengine mlangoni
wakatoka nduki ya ajabu
speed mbaya sana
Kasi kubwa mno
Hadi makwao wakawaambia wazazi wao
kuhusu walichotaka kufanyiwa shuleni.
Hahaha ikapigwa yowee hatari
mwenye mkuki sawa
mwenye panga sawa
mwenye kisu sawa
mwenye fimbo sawa
mwenye upinde sawa
mwenye Jiwe sawa
mwenye manati sawa
mwenye nondo sawa
Hahah
hadi shuleni
wakakuta walimu na Jamaa wa chanjo
wazazi full Gadhabu plus mahasira kibao!
Ilibidi police waitwe fasta kuokoa Jahazi!
ila baadhi ya wazazi na walezi ilibidi wachukuliwe na police wakaondoka nao!
Hizi chanjo hahah yetu macho
Wewe ni muongo na mpotoshaji mkubwa hakuna chanjo hata moja inayo pelekwa shuleni.
 
IMG_7371.jpg
 
🤣 🤣 🤣
Mtafiti anakaa siku nzima anawaza, huyu mtu anadai alichanja, mbona haya majibu chenga tupu.......watafiti wajanja data ambazo hazileti mantiki wanazifyekelea mbali, zisiwaharibie kwenye analysis...
 
Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua.

View attachment 1880639

UPDATE: 06 August, 2021

Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha.

Aidha ameagizaScolastica L. Kanje Afisa Muuguzi Msaidizi apelekwe Baraza la Wauguzi na Wakunga kwa hatua zaidi.

Zaidi soma > #COVID19 - Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

Tayari ni mastaa.
 
Kwanini hawakufanya rehearsal kwanza? Au iliyosambazwa ni behind the scene?!
 
Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua.

View attachment 1880639

UPDATE: 06 August, 2021

Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha.

Aidha ameagizaScolastica L. Kanje Afisa Muuguzi Msaidizi apelekwe Baraza la Wauguzi na Wakunga kwa hatua zaidi.

Zaidi soma > #COVID19 - Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

Inamaana Waziri alikurupuka?watuhumiwa wa maigizo wanaendelea na kazi.
 
Back
Top Bottom