Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Huu nao ni uzi? Dah siku hizi jamii forum imekosa reputation kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una tatizo la kusikia? Hujasikia hapo kampa pole kwa kumchanjaBinafsi sijaona tatizo. Naona nesi kabla ya kuchoma aidha aliitwa au kuna kitu alifuata
Hebu sikiliza Kwanza mazungumzo Yao alafu urudi kucomentBinafsi sijaona tatizo. Naona nesi kabla ya kuchoma aidha aliitwa au kuna kitu alifuata
Wakati amemwambia pole Sana Kwa sindanoBinafsi sijaona tatizo. Naona nesi kabla ya kuchoma aidha aliitwa au kuna kitu alifuata
Inawezekana muuguzi ni mmoja wa watu wanaotaka ukweli ujulikane na ndio maana amefanya hivyo. Big up sana muuguzi chukua soda nitakuja kulipaHapo kosa ni la Muuguzi, kashindwa kuvaa uhusika.
Nilivyoelewa ni kuwa hakuchomwa kwa sababu kuna kitu kakosea.huu ni udhahidi kuwa, kuna watu hawachomi chanjo wanahadaa umma,
hv hapa amechoma kweli? ni nini hiki walichokua wanafanya?
nina wasiwasi huwenda na Rais hakuchanjwa na hakuna waziri wala mkuu wa mkoa aliyechanjwa yote ni maigizo!
msituone sisi ni wapumbavu kiasi hicho
wizara ya Afya huyu muuguzi anafanya nini? hii hospitali inauza vyeti vya chanjo?
View attachment 1882300
Leo nimeuliza swali hilo: Nami nikaulizwa swali: Unajua kwa nini inaitwa Corona Virus Disease 19? Wakasema kirusi cha korona sio kipya kiligunduliwa zamani kwa hiyo research na trials zimekuwa zikifanyika. Ndiyo sababu kirusi hiki kimeitwa #19.Hili wanatakiwa wajibu waliolileta maana pamoja na yule daktari bingwa aliyehojiwa na TBC na kueleza wazi hakuna chanjo ya muda mfupi hivyo, madhara ya muda mrefu waliyafanya lini majaribio,wakati chanjo haijatimiza hata miaka 2?.wao wamekomaa kusema iko salama bila justifications.
TBC Kutwa nzima wanatueleza chanjo ni hiari. Kwa nini ukereke na clip hii!?Kwenu Wizara ya Afya na mamlaka husika,
Huu sasa umekua ujinga, tumejitahidi sana kutoa elimu ya kuhimiza chanjo ya Covid-19, binafsi mimi nimetia elimu sana
halafu anakuja mtu wanafanya upuuzi huu video inatrend, watu wanakata tamaa kabisa ya kwenda kwenye chanjo, Wizara ya afya mko wapi huyu nesi asimamishwe kazi.
Mkuu wa Mkoa pia huyu Afisa elimu hapaswi kuwa kazini mpaka muda huu, waondolewe mara moja.
wanaihujumu serikali juu ya mapambano dhidi ya Covid-19
View attachment 1882372
Nilivyoelewa ni kuwa hakuchomwa kwa sababu kuna kitu kakosea.
Leo nimeuliza swali hilo: Nami nikaulizwa swali: Unajua kwa nini inaitwa Corona Virus Disease 19? Wakasema kirusi cha korona sio kipya kiligunduliwa zamani kwa hiyo research na trials zimekuwa zikifanyika. Ndiyo sababu kirusi hiki kimeitwa #19.
Je kuna usahihi kwenye hili?
Nani amewarecord? Kwasababu ipi?Hajachomwa kaigiza baada ya kuigiza kapewa pole nesi akimaanisha zoezi tayari. Tukiwaambia viongozi wote duniani hawachanjwi hizi chanjo za majaribio kuna watu wanakuwa wabishi.
Sikiliza vizuri, huyo jamaa kamuuliza huyo doctor kuwa tayari? Doctor nae kaitikia tayari, pole sanaNilivyoelewa ni kuwa hakuchomwa kwa sababu kuna kitu kakosea.
Corona virus ni jamii ya virus ambao tunao miaka mingi---Tukumbuke kuwa hawa wadudu ndani ya jamii moja but wapo wa aina tofauti tofauti.. Huyu ameitwa 2019 kwasababu aina yake imegunduliaka 2019. But ipo iliyosababisha SARS 2002, ipo iliyosababisha MERS 2009, huyu SARS-CoV-2 (COVID-19), na wataendelea kuja wengineLeo nimeuliza swali hilo: Nami nikaulizwa swali: Unajua kwa nini inaitwa Corona Virus Disease 19? Wakasema kirusi cha korona sio kipya kiligunduliwa zamani kwa hiyo research na trials zimekuwa zikifanyika. Ndiyo sababu kirusi hiki kimeitwa #19.
Je kuna usahihi kwenye hili?