Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Kuna wakati moyo unanizuia kusema, pengine ndio njia nzuri ya kuishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SSH naye aliigiza?Viongozi wote wanaigiza hakuna anayechanjwa kweli, sema huyu kaigiza vibaya. Hizi chanjo ni za majaribio, kama unataka kushiriki kufanya research ya chanjo nenda kachanjwe.
Afisa anajitambua huyo na muuguzi anajua ukweli,kuwa chanjo ipo kwenye clinical trial,kwanini amurisk kiumbe mwingine.huu ni udhahidi kuwa, kuna watu hawachomi chanjo wanahadaa umma,
hv hapa amechoma kweli? ni nini hiki walichokua wanafanya?
wizara ya Afya huyu muuguzi anafanya nini? hii hospitali inauza vyeti vya chanjo?
View attachment 1882300
kwanini ililetwa sasa, Kumbe ndio maana wati wanamchukia delilaAfisa anajitambua huyo na muuguzi anajua ukweli,kuwa chanjo ipo kwenye clinical trial,kwanini amurisk kiumbe mwingine.
Hili wanatakiwa wajibu waliolileta maana pamoja na yule daktari bingwa aliyehojiwa na TBC na kueleza wazi hakuna chanjo ya muda mfupi hivyo, madhara ya muda mrefu waliyafanya lini majaribio,wakati chanjo haijatimiza hata miaka 2?.wao wamekomaa kusema iko salama bila justifications.kwanini ililetwa sasa, Kumbe ndio maana wati wanamchukia delila
nina hasira sana na hawa kimaHuu uzi inaonekana wa michapio tu