#COVID19 Afisa Elimu Mkoa wa Arusha na Muuguzi waliofanya maigizo ya chanjo wasimamishwe kazi mara moja

Wewe ni muongo na mpotoshaji mkubwa hakuna chanjo hata moja inayo pelekwa shuleni.
 
🤣 🤣 🤣
Mtafiti anakaa siku nzima anawaza, huyu mtu anadai alichanja, mbona haya majibu chenga tupu.......watafiti wajanja data ambazo hazileti mantiki wanazifyekelea mbali, zisiwaharibie kwenye analysis...
 
Tayari ni mastaa.
 
Kwanini hawakufanya rehearsal kwanza? Au iliyosambazwa ni behind the scene?!
 
Inamaana Waziri alikurupuka?watuhumiwa wa maigizo wanaendelea na kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…