Exy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,146
- 5,520
Afu unakutana na madunduka humu jf yamekomazaa mishipa ya.... Kutetea haki za faisali huku timu lao halilipi madeni na wanadaiwa pesa za usajili. Haya kiongozi wa wapuuzi OKW BOBAN SUNZU njoo utuambie kilabu kubwa inayoshindwa kulipa bonus ya wachezaji ya 30m tu😅😅😅.....!!.
Hivi zile bilioniii ngap za M bet bado zipo kwenye ile tisheti😜😜
Hivi zile bilioniii ngap za M bet bado zipo kwenye ile tisheti😜😜