Afisa Habari Simba: Wachezaji Wanadai Bonus zao Na Club haina Pesa

Afisa Habari Simba: Wachezaji Wanadai Bonus zao Na Club haina Pesa

Wao waendelee susa tu, panga linakuja. Timu ifanye vibaya afu ipewe bonus
 
Attachments

  • 474BA008-B190-42E8-9643-3271A5568A33.png
    474BA008-B190-42E8-9643-3271A5568A33.png
    414.8 KB · Views: 2
  • 5C2A0667-550F-4EE2-BC22-5A8F9BB23A7F.png
    5C2A0667-550F-4EE2-BC22-5A8F9BB23A7F.png
    288.7 KB · Views: 2
Kwa mipira ile ya hakina Mzee Onyango, Mzee Chama, Mzee Manula, Mzee inonga, Mzee Kibu na wenzao eti wapewe bonus, kwa mpira gani waliocheza!
 
Kwanini mnaitana hamna akili wenyewe kwa wenyewe wakati wote nyie ni Yanga na Yanga wote tunawajua asili yenu?

Nafikiri wewe ndo huna akili, maana kuwa yanga na yanga hakuondoi mambo mengine ya kawaida
 
Nafikiri wewe ndo huna akili, maana kuwa yanga na yanga hakuondoi mambo mengine ya kawaida
Maana ya kuwa Yanga ni kuwa nyinyi ni kitu kimoja.

Sasa kuanza kubishana nani mwenye akili na nani hana huku mkijua wazi kati yenu hakuna Sunday Manara wala Kikwete huoni kama ni kutaka kuchanganya watu?
 
We mbumbumbu hoja ni bonus mbona mizunguko mingi??kina sawadogo wanadai hebu walipeni kwanza
 
Kutoka kutukana Watu watembeza bakuli mpaka kushindwa kulipa mishahara miezi 3

Napendekeza tuwachangie walipe mishahara ya wachezaji nipo tayari kuchangia
Mishahara? Umenukuu vibaya sio mishahara
 
Back
Top Bottom