Afisa Habari Simba: Wachezaji Wanadai Bonus zao Na Club haina Pesa

Afu unakutana na madunduka humu jf yamekomazaa mishipa ya.... Kutetea haki za faisali huku timu lao halilipi madeni na wanadaiwa pesa za usajili. Haya kiongozi wa wapuuzi OKW BOBAN SUNZU njoo utuambie kilabu kubwa inayoshindwa kulipa bonus ya wachezaji ya 30m tuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….....!!.

Hivi zile bilioniii ngap za M bet bado zipo kwenye ile tisheti😜😜
 
Walikua wanafanya uhuni tu kwenye kamera kama wale wadada wajibinuao makalio kusaka attention online
 
Sina nongwa ila sio fair kutelekeza familia yako then ukakomae na nyumba ya jirani hata Nyerere alianza na uhuru wa Tanganyika kwanza
Hapa unafiki pia nyerere hakupenda, kuna kipindi aliwaita wanasiasa jina baya kwa ishu ya unafiki

Kama wewe unachokifanya hapa, huongei yanayokuhusu wewe na familia yako bali umeyaacha yako unayazungumza ya jirani
 
Kutoka kutukana Watu watembeza bakuli mpaka kushindwa kulipa mishahara miezi 3

Napendekeza tuwachangie walipe mishahara ya wachezaji nipo tayari kuchangia
soma taratibu uelewe usichangie kwa pupa kilichozungumziwa hapo ni Bonasi na sio mishahara kaka.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Hapa unafiki pia nyerere hakupenda, kuna kipindi aliwaita wanasiasa jina baya kwa ishu ya unafiki

Kama wewe unachokifanya hapa, huongei yanayokuhusu wewe na familia yako bali umeyaacha yako unayazungumza ya jirani
Wewe uliyekuwa umeshupaza mishipa kwa Jambo la feisal linakuhusu?.
 
Mi niliupinga ule mtindo wa bonus, ni mtindo mbaya, mchezaji ni mwajiriwa anayelipwa mshahara, matunda ni mwisho wa msimu wakipata kombe walipwe bonus, wasipopata ile kwao
Unaupinga huo mfumo na wakati unatumika duniani kote!
 
Wewe uliyekuwa umeshupaza mishipa kwa Jambo la feisal linakuhusu?.
We uliona wapi mimi nakataza wengine wasitoe maoni kwenye mambo ambayo hayawahusu?

Huyo mwenzako ametoa recommendations kutoka kwenye nukuu ya nyerere kuhimiza watu wakomae na mambo yao.

At the same time hapo hapo naye anarudia kosa kwa kuzungumza habari ambazo hazimuhusu, he hiyo si unafiki kabisa?
 
Reactions: Exy
Hapa unafiki pia nyerere hakupenda, kuna kipindi aliwaita wanasiasa jina baya kwa ishu ya unafiki

Kama wewe unachokifanya hapa, huongei yanayokuhusu wewe na familia yako bali umeyaacha yako unayazungumza ya jirani
Kumbe leo umejua ya jirani mwachie jirani eh! lile jina la Nyerere linakufaa sana
 
Hana busara, kuwa mwanahabari sio kuongea kila kitu, ni kutumia busara
 
Vipi umeshamchangia fei pesa ya kwenda CAS?. Ohoooo vipi utachanga juu ya madai ya bonus za wachezaji wa timu kubwa Afirika?
 
Vipi umeshamchangia fei pesa ya kwenda CAS?. Ohoooo vipi utachanga juu ya madai ya bonus za wachezaji wa timu kubwa Afirika?
Nyie si ndio mmesema niachane na mambo ya jirani?

Sasa kwanini unayaleta hapa?

Unataka nichangie halafu baadaye mpate la kuongea kuwa nadili na mambo ya jirani?
 
Nyie si ndio mmesema niachane na mambo ya jirani?

Sasa kwanini unayaleta hapa?

Unataka nichangie halafu baadaye mpate la kuongea kuwa nadili na mambo ya jirani?
πŸ˜…πŸ‘ˆ Kwahiyo ndugu mtetea haki za binadam msimamo wako upoje mpaka hapa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…