Afisa wa serikali adai UDSM ni chuo cha kata, kinazalisha wahitimu wasio na uwezo kiushindani

Mahali popote penye ujinga kuna fursa ; hata kama ni kwenye idara za chuo kikuu cha Dar es Salaam.
 
Hii nchi wajinga ni wengi sasa Hadi waliosoma sheria mzumbe nao ni mawakili utegemee wawe na akili kweli hapana
 
Sasa wasipo vitambua hivyo vyuo watatambua vipi? Hivyo si ndo vyuo vikubwa hapa tanzania?

Lakini katika level ya kimataifa ni vyuo vidogo. Kugraduate UDSM hakukufungulii fursa kama kugraduate kwenye ivy league za USA au C9 za China
Tumeongea kwa level ya Hapa Tanzania
Ukiingia kwenye level za kimataifa utakuwa unaionea UDSM kwakuwa kwanza umasikini wa nchi unaathiri Sana mfumo mzima wa uendeshaji wake.
Lakin pamoja na kutokuwa chuo competitive duniani still nilitoka UDSM na nikapambanishwa na watu wa nchi zingine zinazoendelea dunia nzima nika meet vigezo vya kuingia kwenye chuo cha 60 duniani kwa ubora. Mind u nimetoka kwenye chuo kinachoitwa cha kata .
Msioijua UDSM ndo mnaibeza Ila Sisi mazao ya UDSM tunaijua ndani njee
 
Kwani uongo!
Mawaziri, makatibu wakuu na wakurugenzi wengi wanashindwa nini kusimamia miradi na nchi ikafanikiwa badala yake tunaleta DPW kuendesha bandari, misitu, mbuga za wanyama nk
Kwa system ilvyo TZ na ueleo wa watanzania (sio wasomi), hata ukimleta Bill Gate hafanyi kitu hapa TZ.
Kwani wasomi wengi wa miaka ya 1960 mpaka 1990, 50% ya wenye degree na zaidi ya 80% wenye masters na karibu 95% wenye PhD walizipata toka nje. Ndio tulipata nini? .....System, system, systeeemmmm!
 
Mpaka huyo vuvuzela anaitaja UDSM maana yake tayari ni chuo cha hadhi. Kwa nini hakutaja hizo saut et al a.k.a community colleges??
 
Huyo jamaa ajiandae kwenda kujiajiri maana tumbua kashalitia mchanga, lkn ndo ukweli wenyewe. Hebu emergine mtu anahitimu chuo kikuu na digree yake analudi mtaani kuwa boda boda.
 
Na uwezo niliojengewa pale UDSM umenipa skills za kupambana kitaa bila kuhangaika na Ajira za foleni na maisha yanasonga.
Karibu ni udsm
 
Ulifundishwa na profesa kabudi? Maana alishasema pale ni jalalani
 
Msimbishie sana huyo afisa maana kabudi mwenyewe aliyesomea pale na kufundisha pale, alijisemea pale ni jalalani
 
Ulifundishwa na profesa kabudi? Maana alishasema pale ni jalalani
Sikupita kwa kabudi
Nilipita kwa Prof mmoja wa kijerumani pamoja na wengine wengi ambao wengine wamepelekwa wizarani
 
Mtoto wa jamukaya ni yupi huyo?
 
Takataka kama hilo nalo linaponda udsm wakatil lenyewe ni ngumbaru tu.
 
Kwa bahati mbaya watanzania hawajui wanachojadili. Nawaonea huruma! Hata kushindwa kwa ufanisi wa Mwendokasi watalaumiwa chuo kikuu UDSM. Watanzania badala ya kukitupia mawe UDSM, angalieni System ya nchi yenu - aka- Siasa.
UDSM ipo vizuri.
 
Ndio ukweli wapo kibao , hata huyo jamaa anayesema kaishia kuajiriwa na kulipa kiduchu licha ya kusoma nje .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…