Afisa wa serikali adai UDSM ni chuo cha kata, kinazalisha wahitimu wasio na uwezo kiushindani

Ukiangalia yanayotokea Kwa Sasa katika taifa, jamaa ana hija ya msingi, tujitafakari kabla ya kumshambulia
Nani kamshambulia maana tunaomjua jamaa kapiga kitabu oxford na Harvard, sasa kama kabudi alijisemea pale ni jalalani unataka uendelee kubisha, kama elimu ndio zile za akina janabi vyuo vyenu bado sana
 
Sasa mada haizungumzii level za tanzania mkuu.

mbona kuna watu wanapata fursa za kwenda vyuo bora bila hata ya kupita UDSM, milango ni mingi haswa kwa wale wanaofaulu sana....
 
Hakuna ubishani kwa dunian, sisi watanzania bado sana. Hilo halina ubishi
Kama hoja ni Tanzania basi UDSM haina mpinzani
 
Hakuna ubishani kwa dunian, sisi watanzania bado sana. Hilo halina ubishi
Kama hoja ni Tanzania basi UDSM haina mpinzani
Ndio kasema level ya kidunia, vipi mkuu waliopiga UDOM huko mtaani wana maoni gani juu ya hiyo hoja
 
Ndio ukweli wapo kibao , hata huyo jamaa anayesema kaishia kuajiriwa na kulipa kiduchu licha ya kusoma nje .
Yeye ni product ya havard chuo bora duniani imekuwaje ameishia halmashauri badala ya kufikiria nje ya box akatengeneza Ajira kwa wengine??
Kusoma havard kumemsaisia nini?
Kama Mimi myudism tu sijahangaika na Ajira za halmashauri pamoja na kutoka chuo anachokiita cha kata yeye wa havard amegundua nini?
 
Sasa mada haizungumzii level za tanzania mkuu.

mbona kuna watu wanapata fursa za kwenda vyuo bora bila hata ya kupita UDSM, milango ni mingi haswa kwa wale wanaofaulu sana....
Waru wameshindwa kumuelewa huyo afisa
Yeye hazungumzii kwa level ya Tanzania, yeye anazungumzja kulinganisha na huko duniani. Jambo ambalo ni kweli
Hata yeye kulinganisha udsm na vyuo vya huko amekosea, maana ni kitu ambacho kipo wazi wala haihitaji mtu aseme
 
Sasa mada haizungumzii level za tanzania mkuu.

mbona kuna watu wanapata fursa za kwenda vyuo bora bila hata ya kupita UDSM, milango ni mingi haswa kwa wale wanaofaulu sana....
Kuipeleka UDSM ukailinganishe na havard ni sawa na kumchukua mtoto anayetambaa ulimnganishe na mtu mzima... Utakuwa umetenda Haki?? Yeye kama msomi wa masters hakupaswa kufanya Hilo kosa kwakuwa anazungumzia mazingira tofauti kabisa na hizo havard Zake.
Kwa Tanzania UDSM haina mpinzani.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Kiufupi sisi waafrica kichwani hamna kitu , ndio maana hata waliofanya makubwa duniani wana elimu za kawaida sana .
 
Kwani uongo!
Mawaziri, makatibu wakuu na wakurugenzi wengi wanashindwa nini kusimamia miradi na nchi ikafanikiwa badala yake tunaleta DPW kuendesha bandari, misitu, mbuga za wanyama nk
Hapa kuna kitu watu wanapaswa kuelewa, hoja sio Udsm pekee ila vyuo vyetu kwa ujumla. Ukiangalia ranking ya vyuo vyetu kidunia iko mbali sana. Kuna kipindi Udsm ilikua na uafadhali kidogo, hata Afrika ikawa ya 5 hadi 7.
Kwa sasa, Maprof. na Dr wengi waliacha kufundisha wahakimia kwenye siasa, Serikalini na madili binafsi. Vyuo vyetu vipo hoi huku kukihitajika mitaala kupitiwa upya.
 
Swali zuri sana. Inabidi huyo mwamba awe mfano kwa kuonyesha ubora wa elimu aliyosoma na matokeo ya ufanisi katika pahala pake kazini.
Naye utakuta anachowaza ni ufisadi tu. Na wakati mwingine utakuta kapigwa biti na mkuu wake aliyesoma UDSM, ndio hasira zake kazitolea hapo.
 
Kabla ya kuleta hizi ranking ulipaswa utueleze kwanza credibility ya huyu mtu aliyefanya ranking worldwide, na alitumia vigezo gani (kama sio mihemko).
Hata Mimi Leo naweza kuja na ranking yangu lakini je Mimi ni credible kufanya ranking ikaaminika? Na pia niweke waz vigezo nilivyoangalia .. M mfano kama ni miundombinu au academic performance nakadhalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…