Afisa wa serikali adai UDSM ni chuo cha kata, kinazalisha wahitimu wasio na uwezo kiushindani

Kiufupi sisi waafrica kichwani hamna kitu , ndio maana hata waliofanya makubwa duniani wana elimu za kawaida sana .
Bora wewe umeona kitu cha tofauti. Shida ni mindset zetu wa Africa.
Kwanza huyo msomi wa havard ngoja wamtafutie zengwe afukuzwe tuone application ya elimu ya havard mtaani
 
Business insider sio credible source ya University rankings. Huwa unawekaga pages za watu ambao anaweza kuamua tu kuandika chochote, mfano wale wa mama yupo kazini. Hizo pages sio media hivyo wanachoandika huwa ni utashi wao. Ukitaka kuweka source ambayo ni credible weka source kutoka kwenye media kubwa, au kutoka kwenye taasisi inayohusika

Mimi nakuwekea ya Uniranks(moja ya site credible kwa kufanya University rankings)
 

Attachments

  • Screenshot_20240802-112058_1.jpg
    257.4 KB · Views: 3
Punguani mkubwa,walinukuu taarifa ya Times Higher university ranking wanaofanya hiyo kazi Kila mwaka
 
Sio mtu ni jarida la Times Higher university ranking
 
Huyu huwa anaweka link ya mtu yoyote kutoka Twitter na anatumia hiyo habari kama source
Hajui kuwa Twitter mtu yoyote anaweza kuandika chochote. Yeye habari zake huwa ni link za watu wa Twitter, ndio maana hata hii post umeona kaweka link ya huyo wa Twitter
 
Mm nimesoma hapo degree program flani asee ni shida ....japo Kuna watu wamesimamisha first class ila elimu ya vyuo Tanzania sio kbs...Kuna watu wanafaulu hujui wanafaulu kivipi maana wao kuonekana ni siku ya mtihani ...😄😄
 
Kwa sasa, Maprof. na Dr wengi waliacha kufundisha wahakimia kwenye siasa, Serikalini na madili binafsi. Vyuo vyetu vipo hoi huku kukihitajika mitaala kupitiwa upya.
Absolutely right
 
huwezi kulijua hili hadi ukasome nje. sitaki kujidai kwamba nimesoma nje, ila jamaa wasimfanye kitu, amesema ukweli.
 
Tatizo tunapenda kuambiwa uongo hata kama ukweli tunaujua.

Tunasoma UD kwa sababu ya elimu bora, au ndio uwezo wetu wa kifedha umeishia hapo?

By the way, jamaa ana historia ya kuongea sana ukweli

 
Ukiangalia yanayotokea Kwa Sasa katika taifa, jamaa ana hija ya msingi, tujitafakari kabla ya kumshambulia
Hajashambuliwa mkuu, jamaa thinking capacity yake inakosa njia. Hana reasoning ability, bi sawa na kusema kwa nn swala hawali majani ya nchani kwq nn wastage kwa twiga?. We unavyoona hapo kuna uwiano?
 
Ninarudia tena anaye underestimate nguvu ya UDSM Hapa nchini huyo hajui Mambo.
SEMA nini mambo ya siasa yanaingizwa Sana kwenye uendeshaji wa vyuo
UDSM ndio imezalisha viongozi wa serikali, niambie nini hasa wanafanya huko serikalini zaidi yaa.....tusiongee sana ila UDSM kama chuo mama hakijazalisha watu makini kwa taifa.
 
Ngoja waje wazee wa Nongwa.
Asijesema kalishwa maneno mdomoni.
 
Tatizo tunapenda kuambiwa uongo hata kama ukweli tunaujua.

Tunasoma UD kwa sababu ya elimu bora, au ndio uwezo wetu wa kifedha umeishia hapo?

By the way, jamaa ana historia ya kuongea sana ukweli

View attachment 3059292
Kaongea kitu kipo wazi, sijaona umuhimu wa mjadala kwenye alichoongea
Hakuna ambae amewahi kulinganisha elimu ya UDSM na elimu ya vyuo vikuu vya nje kwenye nchi zilizoendelea kwa sababu ni jambo lipo wazi
 
Mm nimesoma hapo degree program flani asee ni shida ....japo Kuna watu wamesimamisha first class ila elimu ya vyuo Tanzania sio kbs...Kuna watu wanafaulu hujui wanafaulu kivipi maana wao kuonekana ni siku ya mtihani ...😄😄
Tunarudi pale pale siasa kuathiri uendeshaji wa chuo na umasikini wa nchi.
Darasa Lina wanafunzi 2000 plus unawafundishaje? Unajuaje nani Yupo na nani hayupo? Sera ya EFA ndo ilileta mafuriko vyuoni na mkuu wa chuo huwezi kupinga
 
Hata yeye ni zao la ovyo la chuo chake kama hata hajui namna ya kutambua credible source ya taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…