African Football League Draw: Simba kuanza na Al Ahly

Kutoka 2018 mpaka leo tumekutana mara 4 na Al Ahly

Kashinda mara mbili

Nimeshinda mara mbili.

Na kikosi nilichonacho msimu huu sina wasiwasi wowote na timu yeyote.
Aahaaaa
 
Hiyo siku Kuna kiumbe kitachapwa,kitapoteana uwanjani,hakuna kituko tutaacha kuona,kisago kitakuwa ni unlimited.. wakujiita mnyama ataliwa hiyo nyama anyamike...😂
 
Ongezaaa sautiiii wasikie had viziwi wa Avic town kibonde maji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo unazungumzia fainali je nyie mnafurahia kumfunga Al Ahly kwenye fainali? Mna mingapi hamkugusa fainali za CAF interclub championship?
CAF ipi hebu eleza, wee mwenyewe kuna michuano ya CAF hata kuingia makundi ni mtihani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo siku Kuna kiumbe kitachapwa,kitapoteana uwanjani,hakuna kituko tutaacha kuona,kisago kitakuwa ni unlimited.. wakujiita mnyama ataliwa hiyo nyama anyamike...[emoji23]
Utopolooo mbna mna haha? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku hakuwahusuu, woiiiiih
 
CAF ipi hebu eleza, wee mwenyewe kuna michuano ya CAF hata kuingia makundi ni mtihani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani kuna CAF ngapi? Mashindano ya CAF interclub inahusisha champions league na confederation cup.
 
Kwani kuna CAF ngapi? Mashindano ya CAF interclub inahusisha champions league na confederation cup.
Ndo useme hayo uliyofika final ni yapi, km ni CL au CC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa unashindwa kutaja michuano uliyofika final, woiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…