Ongeza sautii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni makombe ya maana hata ninyi hamna, hapo kinachotaka kuoneshwa ni kwamba hamna sehemu yanga kafika ambapo simba hajafika kitu ambacho mlikuwa mnabisha awali, ilihali zipo sehemu ambazo simba kafika ila yanga bado hajafika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaaaHamna kombe ndo point ya msingi
Aahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaaa
Aahaaaa,sawaYani mbele ya raisi wa FIFA Gianni Infantino afu utegemee kuona Simba inafungwa, haiwezi kutokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeee wee huku hakukuhusuuuDah!! Simba ndiyo inaenda kuliaibisha Taifa hivi hivi aisee!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeIg by by
Aahaaaa
Yani mambo yako unanikumbusha yule waziri wa habari wa Saddam Hussein wa kuitwa Al Sahaf, maana alituaminisha Baghdad ndio kaburi la Wamarekani kumbe tayari Baghdad tayari imeshatekwa na Majeshi ya Marekani.Tulieni siku ya mechi mtaiona Simba halisi
Achana na hivi vimechi vya NBC ambavyo tunacheza kiuongo uongo
Halafu bingwa akawa Nani?Alishakufa mara kibao hadi kuna mwaka alishika nafasi ya pili kwenye group nyuma ya Simba
View attachment 2736911
Lini tulikataa bwashee, shida ni kwenu mliokuwa mnabisha kwamba mlipofika ninyi sisi bado hatujafika haya leo historia hiyo imesomwa mnajifanya kubadilisha kiswahili, sawa tunawasubiri na huku robo fainali ya cafcl ambako mnatubeza kila siku ilihali hamfahamu kunafananajeUnakubali,Hilo ndo la maana
Kwahiyo mikia wakitolewa watasema walifika robo fainali African super league?[emoji1787]Wazee wa Robo Fainali
Ndo maana yake,,,hata wawashe moto wa mafuta ya ndege hapo ni bye bye.Hata hapa wanaoishi robo
Si kombe la CAF? Au ni kitu gani hujaelewa?Ongeza ukubwa wa picha, waone hadi vipofuuu.
AahaaaaNdo maana yake,,,hata wawashe moto wa mafuta ya ndege hapo ni bye bye.
We omba tu tusiingie makundiLini tulikataa bwashee, shida ni kwenu mliokuwa mnabisha kwamba mlipofika ninyi sisi bado hatujafika haya leo historia hiyo imesomwa mnajifanya kubadilisha kiswahili, sawa tunawasubiri na huku robo fainali ya cafcl ambako mnatubeza kila siku ilihali hamfahamu kunafananaje
Yanga 😁Halafu bingwa akawa Nani?
Ongezaaa sautiii hadi viziwi wa Avic town kibonde maji wasikieeeLini tulikataa bwashee, shida ni kwenu mliokuwa mnabisha kwamba mlipofika ninyi sisi bado hatujafika haya leo historia hiyo imesomwa mnajifanya kubadilisha kiswahili, sawa tunawasubiri na huku robo fainali ya cafcl ambako mnatubeza kila siku ilihali hamfahamu kunafananaje