Ni swali tu. Nimesema kwamba mimi sijui ukweli upo wapi? Ni swali tu. Mtu akiuliza swali haimaanishi kwamba anaamini kilichoandikwa magazetini. Narudia tena ni swali tu. Kuna msemo inayosema kuuliza sio ujinga. So wewe kunitukana kwamba mimi ni mpumbavu kwa kukuuliza swali is not fair ni heri ungekaa kimya wengine wajibu swali. Swali ni swali kama huna jibu kaa kimya. Mimi mwenyewe siamini madai haya ya magazeti ndio maana nimeuliza swali.Wewe ni mpumbavu kweli JPM aje kutibiwa Kenya! hivi hamumjui JPM enhe? keep wishing!
FYI hawezi kuja huko hata siku moja amekuwa akitibiwa Tanzania na ataendelea kutibiwa Tanzania! msijishaue! Yaani aache Mkapa hospital, MOI, Mloganzila na JKCI aje Kenya! seriously? mbona mna over exxagerate ur importance? Nyie ni wajinga kiasi gani?Ni swali tu. Nimesema kwamba mimi sijui ukweli upo wapi? Ni swali tu. Mtu akiuliza swali haimaanishi kwamba anaamini kilichoandikwa magazetini. Narudia tena ni swali tu. Kuna msemo inayosema kuuliza sio ujinga. So wewe kunitukana kwamba mimi ni mpumbavu kwa kukuuliza swali is not fair ni heri ungekaa kimya wengine wajibu swali. Swali ni swali kama huna jibu kaa kimya. Mimi mwenyewe siamini madai haya ya magazeti ndio maana nimeuliza swali.
Nakuelewa. Unajua habari za magazetini lazima tuwe makini nazo. Zinaweza kupotosha. Anyway time will tell. Ukweli utajulikana tu baadaye.FYI hawezi kuja huko hata siku moja amekuwa akitibiwa Tanzania na ataendelea kutibiwa Tanzania! msijishaue! Yaani aache Mkapa hospital, MOI, Mlohanzila na JKCI aje Kenya! seriously mbona mna over exxagerate ur importance? Nyie ni wajinga kiasi gani?
Chanzo cha habari hii ni gazeti kubwa Nation.Africa na lenye heshima kubwa kanda hii ya Afrika na linasomwa sana online duniani kote kutokana na pia kuchapishwa ktk lugha ya kigeni ya KiingerezaThe leader of an African country who has not appeared in public for nearly two weeks is admitted to Nairobi Hospital for Covid-19 treatment, even as his government remains mum on his whereabouts.
The leader, who regularly addresses church congregants and public rallies when inspecting or launching government
Kama si kweli basi gazeti hili la Nation wasubiri kufungiwa kuuza magazeti nchi jirani kwa kusababisha kitu kinaitwa mtafaruku kwa mamilioni ya raia wa nchi jirani.African leader admitted to Nairobi Hospital with Covid-19
The leader was last seen in public late last month.nation.africa
Kenya: NMG Goes Continental With New Digital Aspiration, Nation.africa ...
5 Sept 2020 — Group Board Chairman Dr Wilfred Kiboro said the new journey targets the entire African continent, in line with the vision of the company's founder
wameandika African leader why jumping into a conclusion ni JPM? mpo desperate kiasi hicho? Mbona asiende China aje Nairobi? hata Kikwete hajawahi kutibiwa Kenya! kwahiyo JPM anaiamni Kenya kuliko China?Nakuelewa. Unajua habari za magazetini lazima tuwe makini nazo. Zinaweza kupotosha. Anyway time will tell. Ukweli utajulikana tu baadaye.
Liko wapi tamko?UONGO HUENEA KWA KASI SANA
Mbinu za N Korea hizi! Magu yuko zake sehem amepumzika! na kwa kiasi kikubwa TISS wamefaulu zoezi hili kwa ufasaha sana. Wameacha watu wahisi na kujiuliza maswali.Kama Ni kweli yuko hospitalized Nairobi! Hii aibu sijui Magu ataruka vipi hapa East Africa?
It will shows hospital facilities za Tanzania ni mediocre and local Kama nyimbo za Ken Wa Maria. [emoji16]
Yes..Yes..Malengo yetu ni hospitali ya Bugiri Chato iwe na hadhi hii.