Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Ni swali tu. Nimesema kwamba mimi sijui ukweli upo wapi? Ni swali tu. Mtu akiuliza swali haimaanishi kwamba anaamini kilichoandikwa magazetini. Narudia tena ni swali tu. Kuna msemo inayosema kuuliza sio ujinga. So wewe kunitukana kwamba mimi ni mpumbavu kwa kukuuliza swali is not fair ni heri ungekaa kimya wengine wajibu swali. Swali ni swali kama huna jibu kaa kimya. Mimi mwenyewe siamini madai haya ya magazeti ndio maana nimeuliza swali.Wewe ni mpumbavu kweli JPM aje kutibiwa Kenya! hivi hamumjui JPM enhe? keep wishing!