African leader taken ill, admitted to city hospital

African leader taken ill, admitted to city hospital

Wewe ni mpumbavu kweli JPM aje kutibiwa Kenya! hivi hamumjui JPM enhe? keep wishing!
Ni swali tu. Nimesema kwamba mimi sijui ukweli upo wapi? Ni swali tu. Mtu akiuliza swali haimaanishi kwamba anaamini kilichoandikwa magazetini. Narudia tena ni swali tu. Kuna msemo inayosema kuuliza sio ujinga. So wewe kunitukana kwamba mimi ni mpumbavu kwa kukuuliza swali is not fair ni heri ungekaa kimya wengine wajibu swali. Swali ni swali kama huna jibu kaa kimya. Mimi mwenyewe siamini madai haya ya magazeti ndio maana nimeuliza swali.
 
Ni swali tu. Nimesema kwamba mimi sijui ukweli upo wapi? Ni swali tu. Mtu akiuliza swali haimaanishi kwamba anaamini kilichoandikwa magazetini. Narudia tena ni swali tu. Kuna msemo inayosema kuuliza sio ujinga. So wewe kunitukana kwamba mimi ni mpumbavu kwa kukuuliza swali is not fair ni heri ungekaa kimya wengine wajibu swali. Swali ni swali kama huna jibu kaa kimya. Mimi mwenyewe siamini madai haya ya magazeti ndio maana nimeuliza swali.
FYI hawezi kuja huko hata siku moja amekuwa akitibiwa Tanzania na ataendelea kutibiwa Tanzania! msijishaue! Yaani aache Mkapa hospital, MOI, Mloganzila na JKCI aje Kenya! seriously? mbona mna over exxagerate ur importance? Nyie ni wajinga kiasi gani?
 
FYI hawezi kuja huko hata siku moja amekuwa akitibiwa Tanzania na ataendelea kutibiwa Tanzania! msijishaue! Yaani aache Mkapa hospital, MOI, Mlohanzila na JKCI aje Kenya! seriously mbona mna over exxagerate ur importance? Nyie ni wajinga kiasi gani?
Nakuelewa. Unajua habari za magazetini lazima tuwe makini nazo. Zinaweza kupotosha. Anyway time will tell. Ukweli utajulikana tu baadaye.
 
The leader of an African country who has not appeared in public for nearly two weeks is admitted to Nairobi Hospital for Covid-19 treatment, even as his government remains mum on his whereabouts.
The leader, who regularly addresses church congregants and public rallies when inspecting or launching government
Chanzo cha habari hii ni gazeti kubwa Nation.Africa na lenye heshima kubwa kanda hii ya Afrika na linasomwa sana online duniani kote kutokana na pia kuchapishwa ktk lugha ya kigeni ya Kiingereza
Kama si kweli basi gazeti hili la Nation wasubiri kufungiwa kuuza magazeti nchi jirani kwa kusababisha kitu kinaitwa mtafaruku kwa mamilioni ya raia wa nchi jirani.

Ila kama habari hii ni sahihi gazeti hili litazidi kujijengea sifa na kuongeza idadi ya wasomaji wake kutokana na kuandika habari sahihi za kiuchunguzi na uthubutu wa kutumia uhuru wa kupashana habari bila woga, kubwa ni habari zilizo za ukweli na sahihi.

Karibu kuna kucha, habari hii itaendelea ku trend asubuhi yote, mchana kutwa na jioni kama habari kubwa ya siku

Tusubiri kanusho, kufungiwa ama taarifa kutolewa kwa umma nini kinaendelea. Ni risk kubwa jarida limechukua ila kama wameandika jambo la kweli, basi watakuwa wamejiweka katika nafasi nzuri za Juu kama chombo kikubwa media barani Afrika.


............................................................................



Gazeti la Nation.Africa lilizinduliwa kwa mbwembwe na linataka kujiweka sokoni kwa habari za uhakika na kujijengea heshima
Kenya: NMG Goes Continental With New Digital Aspiration, Nation.africa ...
5 Sept 2020 — Group Board Chairman Dr Wilfred Kiboro said the new journey targets the entire African continent, in line with the vision of the company's founder
 
Nakuelewa. Unajua habari za magazetini lazima tuwe makini nazo. Zinaweza kupotosha. Anyway time will tell. Ukweli utajulikana tu baadaye.
wameandika African leader why jumping into a conclusion ni JPM? mpo desperate kiasi hicho? Mbona asiende China aje Nairobi? hata Kikwete hajawahi kutibiwa Kenya! kwahiyo JPM anaiamni Kenya kuliko China?
 
Kama Ni kweli yuko hospitalized Nairobi! Hii aibu sijui Magu ataruka vipi hapa East Africa?

It will shows hospital facilities za Tanzania ni mediocre and local Kama nyimbo za Ken Wa Maria. [emoji16]
Mbinu za N Korea hizi! Magu yuko zake sehem amepumzika! na kwa kiasi kikubwa TISS wamefaulu zoezi hili kwa ufasaha sana. Wameacha watu wahisi na kujiuliza maswali.

Hakika zile sehemu zilizokuwa zinatoa siri, naona sasa zimedhibitiwa! Heko TISS, Rais wangu endelea kupumzika.
 
1615346662875.png
 
Gazeti la the Daily-Nation, limesema (Kwa mafumbo, mafumbo) kuwa Rais wa Tanzania amelazwa Kenya. Hii baada ya mwanaabari James Smart kudai kuwa kuna baadhi ya viongozi wa Kiafrika ambao huja Nairobi kwa matitbabu ya COVID-19



EwEh73HXcAc_ZLR.jpg
 
Back
Top Bottom