African leader taken ill, admitted to city hospital

Umeongea utumbo..
 
Mpaka sasa ni fununu, twasubiri taarifa rasmi, kama kweli twamtakia kila la kheri, kama hajaenda huko basi wazandiki wako kazini, kama yupo nchini na anaumwa Pole zake na apone rais wetu arudi kazini, kama haumwi na watu wanazusha basi hiyo inasikitisha sana sana sana...
 
Msukule pekee utakaoenda nao kaburini huu hapa

Kwa taarifa yenu. Huo ni uzushi ambao hili gazeti litaugharimu.
Pili hata umchukie au umpende vp kiongozi wa nchi asilimia kubwa ya ufanisi wako binafsi hautegemei rais wako, bali ni wewe mwenyewe. Ukizembea katika maisha, kila mmoja utambebesha lawama, wakati ukweli ni kwamba wa kulaumiwa ni wewe mwenyewe.

Kwa hiyo ndg yangu, huyu siyo kiongozi wa kwanza wala wa mwisho. Watakuja watapita, lkn raia ambaye anajitambua atasimama daima dawamu.
 
Mungu si Athumani. Palepale alipolazwa Lissu, ndipo anapolazwa mfitini wake sasa. Omba toba sasa.
 
mzee mwenzangu hivi ni kwa nini kenya tuu ?ngependa sana kusikia nenolako juu ya historia ya mfululizo wa false accusations dhidi ya tanzania zinazofanywa na hawa ambao tunasemaga ni ndugu zetu
 
... and Lissu himself, two days ago, politely requested the TZ government officials to address the nation where is their president. He has not been on media nor public appearances for nearly two weeks now!!!. Lissu ni mbeba maono!!!
 
Hahaaa. Typical nyumbu!!! Not very smart. IQ in the single digits 🤣🤣.

Sema ‘unahisi’, ‘unadhani’, au ‘unasadiki’....
Imeisha hiyo nyani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wengine waliwekeza kwenye kununua Wana ventilators while sisi tukiwekeza kwenye kujitoa ufahamu,propoganda na nyungu,hapo bado huoni Kama Kuna tofauti mkuu?

Hakuna taifa ambalo halina ventilators kwenye ICUs zake. Hata toolkit ya doctor wa Rais pengine inajumuisha ventilator! Kilichofanyika wakati wa mlipuko wa COVID-19 ni kwa mataifa kuongeza idadi ya ventilators, sio kununua kwa mara ya kwanza!
 
Duh! Hii mbona hatari, yeyote huyo tumtakie augue pole na apone maana sio vyema kupoteza viongozi kizembe.....
Mokaze


Kaenda kuangalia kama DUPEX tayari imeishazinduliwa na KEMRI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…