African leader taken ill, admitted to city hospital

Mimi nazishangaa pande zote.

1. Hao waliomzunguka, nakubaliana nawe kuwa kuna wanafiki. Mbele yake wanamchekea na kumnyenyekea lakini nyuma yake wanamteta vibaya mno...
Unapotaka kununua mwenzio Ili wewe upate huwa inakuaje? Wewe unaongea kama binadamu au malaika au non living thing?

Kwa mfano waliomnyima Lisu matibabu wakati amepigwa lisasi walikuwa wanafurahia nini sasa
 
Nkurunziza alikuwa adamant hivyo hivyo lakini yaliyomkuta kila mtu anafahamu. Watu ndio wanatambua kuwa fulani ni rais lakini virusi havijui hilo na wala urais wako haiwahusu.

Kila siku unatakiwa uwatendee wenzako kile unachotaka ufanyiwe wewe sio unaburuza watu ukifikiri wewe una ukoo na Mungu. No human being is immortal.
 
Watu wengine wanadhani kile kidudu kinaogopa walinzi wenye mitutu ya bunduki...
 
Ni kweli kila mtu hakosi ADUI ila ukiwa na maadui wengi tena wanaoonekana waziwazi inaleta FRUSTRATION sana.

Awamu hii imeumiza raia wengi mno kiasi kwamba people are not happy with their leaders
 
Who is this African leader even Nation failed to mention , i suspect He/She must be most feared on Earth 😁 😛 😛
 
Never: Kiongozi toka Tanzania hawezi kwenda kutibiwa kenya hata siku moja.


Huu ni upuuzi mkubwa kabisa na kuyaka kujipatia umaarufu kirahisi.


Viongozi wote wa Tanzania wakuu wapo vizuri na wanaendelea na majukumu yao.
Kiongozi wa CCM ... ungekuwa specific kabisa ili upunguze wigo wa maswali.

Maana Tanzania ina viongozi wengi... wa vyama vya siasa, michezo, dini nk ..
 
Kwenye mitandao ya nyie mataga ndio mnajua hayo ila kwenye govnt machinery uhusiano uko kawaida na approachable

Kama uhusiano ni mbovu mbona hamumrudishi balozi Tzn na kumtimua wa Kenya?

Kuhara huku ndio maana mnaumbuka nyie mataga wa mitandaoni
Duuuh!!!Sijui nini kina kutatiza ila naona una viashiria vya "Hate with passion" Kwa Ngosha. Usichanganye kati ya misuguano katika mahusiano na kuvunja mahusiano.

Kufunga balozi ni moja ya hatua ya mwisho kabisa kwenye kutafuta muafaka inapotokea sintofahamu kati ya nchi mbili.

Fanya utafiti kidogo utagundua TZ amekua muumini mzuri wa "Scratch my back I Scratch yours" fuatilia series ya reciprocation kuanzia kuchoma vifaranga, Kuzuia ndege nk kwa hiyo unaposema TZ n KN hakuna msuguano wa kidiplomasia unaonyesha jinsi gani ulivyo mzembe na mvivu wa kuchunguza mambo.
 
Utakufa wewe kabla yake.
 
"Akibahatika kustaafu"

Nimekusoma mkuu ndugu yangu...
 
Wengine waliwekeza kwenye kununua Wana ventilators while sisi tukiwekeza kwenye kujitoa ufahamu,propoganda na nyungu,hapo bado huoni Kama Kuna tofauti mkuu?
Kama hujui kama Jina lako usifungue domo lako,
Kuna Ventilators 100 zimefungwa Muhimbili last two weeks, nyingine sikumbuki idadi zimeenda Ben Mkapa
 
Kwa akili timamu kwenda kusoma twitts kama hizi na kuzireproduce online ni jambo la ajabu sana. Analysis ya chini sana ni lazima ionyeshe kuwa siyo za kweli, kwani hata kama magufuli anaumwa hawezi kwenda kutibiwa Kenya sababu tayari hospitali za Tanzania zina uwezo mkubwa sana, na inapokuwa ni kuuguza VIP hakuna atakalopata Kenya ambalo hawezi kulipata Tanzania. Halafu kwa ego ya magufuli bado hawezi kufanya kitu kama hicho, na vile vile kwa ego ya wakenya, ni lazima wangeonyesha angalau picha ya ndege iliyomtelemsha.
 
Mitandao imejaa propaganda siyo ya kuamini hata kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…