African leader taken ill, admitted to city hospital

Sio mara ya kwanza viongozi wa Tanzania kuwa airlifted to Nairobi.
Hata mkewe Nkurunziza alitibiwa hapa Nairobi.
This was a few weeks ago

 
hii ya lini? Naona ni siku tatu zilizopita kwa YouTube
 
Kupona kwq tundu lissu kumeipaisha sana hospital ya kenya hizi siku za karibuni
 
Never: Kiongozi toka Tanzania hawezi kwenda kutibiwa Kenya hata siku moja.

Huu ni upuuzi mkubwa kabisa na kuyaka kujipatia umaarufu kirahisi.

Viongozi wote wa Tanzania wakuu wapo vizuri na wanaendelea na majukumu yao.
Tundu Lissu alikuwa kiongozi pia
 
Wewe hujui Kenya uzalendo fake wa kitanzania unakusumbua......Kenya private medical facilities iko juu sana na madakitari bingwa wengi kutoka India na Europe, sema tu gharama zao.
Wakenya wenyewe wanavuka boda Tz kupata matibabu Kcmc na Selian..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…