Afrika Kusini sio salama, kuna Watanzania wameuawa siku za karibuni

Afrika Kusini sio salama, kuna Watanzania wameuawa siku za karibuni

Niko group moja la mabaharia South Africa, kila baada ya siku mbili Kuna post ya rambirambi, mara mwamba kauawawa na Wazulu, mara polisi mara wenyewe kwa wenyewe, sio poa aisee.

Noma Sana, pande hizo sio kwa wake wenye mioyo mwepesi.
Msangi unamjua?
 
Niko group moja la mabaharia South Africa, kila baada ya siku mbili Kuna post ya rambirambi, mara mwamba kauawawa na Wazulu, mara polisi mara wenyewe kwa wenyewe, sio poa aisee.

Noma Sana, pande hizo sio kwa wake wenye mioyo mwepesi.
Kila baada ya siku mbili basi upo kundi la Afghanistan mkuu sio kwa Madiba....mnadanganya kuhusu kwa madina utadhani hiyo Nchi ipo ukanda wa Gaza kumbe karibu tuu hapo..
 
Sijawahi kufika south Africa lakini niulize, hao jamaa wanaua watu bila sababu? Yaani wakikutana na mbongo wanamuua? Nadhani hao waliopostiwa walikua wanafanya issue haramu, labda walizulumiana ndio impact ikawa hiyo.
Yaani Aslimia kubwa ya vijana wanaoendaga South ni vibaka,na siyo kwamba huwa wanaenda na mitaji hapana ila shughuli yao inakuwaga kuiba,
 
Ukijichanganya kwa Manduna huchomoki, baadhi wa wabongo waliowengi wanaenda kule bila mishe maalum. Maisha yakiwapiga wanajikuta wameingia kwenye magenge yasiofaa. Hususani Durban kuna watega meli hao muda woote na vibeg mgongoni wanawaza kuzamia waende brazil au nchi nyingine. Hao 80 ni wa wabongo na ni WEZI BALAAA.
 
Wabongo wanajihusisha kwenye dili za magamushi sana
Mrundi labda atajihusisha kwenyw utapeli sana sana
Alafu unajuwa warundi walianza pia kusafiri kwenda nje kitambo sana mkuu

Ova
kwa kuongezea warundi wengi wana paper hivyo wanaruhusiwa kufanya hata https://jamii.app/JFUserGuide n job
 
Dogo langu la mwisho lilienda huko aise niliweka x tu kuwa sasa mwana nshampoteza bahati nzuri karudi juzi anakwambia nchi inanuka damu cha ajabu bro wa pili yupo kule miaka 20 sasa na katusua ila hafanyi kazi nyeusi
 
Back
Top Bottom