Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mmoja kauliwa na police,,
Huyu kapigwa bunduki Durban wizini
Huyu nae kapigwa risasi wizini 70% ya watanzani waishi Durban ni wezi wa kuvunja majumba.Ndugu zetu, kama maisha ni magumu bora upambane ukiwa hapa na usifikirie kwenda Bondeni, Southa Africa.
Kuna jamaa, amepost kwenye ukurasa wake wa kijamii Watanzania wenzetu kadhaa waliopoteza maisha huko South kwa kuuawa.
Sijajua walikuwa wanajishghulisha na kazi gani hawa ndugu zetu, lakini kwa kifupi itoshe kusema South Africa hakufai hata kidogo.
View attachment 2484953
Wote wezi hawa.
Yaani kuuliwa hao watatu ndio useme SA sio salama?mbona bongo watu wanauliwa Kila leo,na nchi ipo salama,Ndugu zetu, kama maisha ni magumu bora upambane ukiwa hapa na usifikirie kwenda Bondeni, Southa Africa.
Kuna jamaa, amepost kwenye ukurasa wake wa kijamii Watanzania wenzetu kadhaa waliopoteza maisha huko South kwa kuuawa.
Sijajua walikuwa wanajishghulisha na kazi gani hawa ndugu zetu, lakini kwa kifupi itoshe kusema South Africa hakufai hata kidogo.
View attachment 2484953
Hili nakupinga!!!Watu wengi tu wameondoka miaka ya 90 na degree zao kukimbilia mamtoni na wapo wamesettle wanamiliki mijengo na familia zao na maisha mazuri tu. Usichukulie hao wachache unaowafahamu wewe ukawajumlisha na wengine. Kuanzia 1995 wabongo wengi sana walitimkia ughaibuni na South Afrika walikua wasomi walioona nchi inakokwenda sio na wapo wengine ndio hao unaowasema. wakenya na wanigeria ni wengi kwa vile walianza kusafiri kitambo sana na wala sio kwamba wapo smart kuzidi wabongo.Kwavile walisafiri kitambo waliingia kwenye system kwahio huo ujanja ni vile wanafinywa masikio na waliotangulia lakini wabongo wachache kwenye system kutokana na kuanza kuingia huko juzi juzi tu 1990s..Unaweza kulaumu lakini kihistoria Watu wengi wa mwanzo walioenda Nje hasa Afrika Kusini ni wale walikuwa na ujasiri na ambao wengi wao walikuwa hawana elimu. Wasomi (angalau kidato cha sita na kuendelea) walikuwa na uhakika wa kazi, uoga wa kusafiri kimagumashi na Nchi ilikuwa na utulivu wa kisiasa. Matokeo yake ni kuwa wengi wakaishia kufanya shughuli ndogondogo na hatimaye kuingia kwenye uhalifu.
Kwa wenzetu, kidogo hali ilikuwa tofauti. Kwa mfano Wakenya na Wanaijeria, wengi waliokuwa na shule ndiyo walienda South au ughaibuni. Matokeo yake elimu ikawasaidia kujiendeleza na kuingia kwenye shughuli nyingine rasmi, na hata kama ni wahalifu lakini walitumia akili nyingi na elimu iliwasaidia. Just imagine miaka ya mwanzo tisini Nigeria tayari kila jimbo kuna Chuo kikuu, Kenya tayari walikuwa na vyuo zaidi ya saba na likazaliwa tatizo la ajira kwa wasomi mapema zaidi wakati huku kwetu miaka hiyo elimu tu ya kidato cha sita unaringa hata kwenda jeshini na vyuo vikuu ni Sokoine na UD.
Mbona ni kama wote walienda kufanya kazi nyeusi?Ndugu zetu, kama maisha ni magumu bora upambane ukiwa hapa na usifikirie kwenda Bondeni, Southa Africa.
Kuna jamaa, amepost kwenye ukurasa wake wa kijamii Watanzania wenzetu kadhaa waliopoteza maisha huko South kwa kuuawa.
Sijajua walikuwa wanajishghulisha na kazi gani hawa ndugu zetu, lakini kwa kifupi itoshe kusema South Africa hakufai hata kidogo.
View attachment 2484953
Hapana huyu sie. Huyu kaondoka 2007.Mkuu huyu jamaa naweza kuwa namfaham au lah, maybe nijue ulimtoa eneo gani coz kuna kiumbe mmoja alitokea ktk kijiwe changu cha kazi hapo Dar miaka ya 97 but alichukuliwa kuelekea huko until now nasikia familia yake inakula matunda fresh!.
Wabongo wengi ni wazito waoga kutoka njeSawa na wasomi madaktari na walimu miaka ile waganda na wakenya wanachangamka na Botswana wanalipwa mapesa mengi sisi tumelala, tunakuja kustuka michongo ilishaisha tu wachache ndio walifaidika wengi walikalia uoga uoga wa bila sababu
Yote maisha tuPoleni wafiwa. Vijana wanaotoka maeneo ya uswahilini Dar na kwenda SA wengi wao vibaka. Kuna dogo mmoja wa Kigogo alikuwa kibaka sugu nikamwita kumshauri aachane na ishu za ajabu kwasababu kilichokuwa kinafuata ni kuuwawa. Baada ya kumshauri nikampa laki 3 afanye biashara ya Video LIBRARY.. ile hela ndo akaitumia kwenda South. Nikiwa sijui hili wala lile nikaona msg Facebook dogo ananiambia yuko South. Picha zake zinaonyesha kabisa anachofanya huko ni ushenzi mtupu. Na hayuko peke yake. Picha zake nyingi yuko na marafiki wanaoonekana ni vibaka watupu. Vijana wapewe somo kwa kweli.
Kabisa mkuuWatafutaji nao [emoji1]
Ova
hajari kazini kwani tz hawafi?Ndugu zetu, kama maisha ni magumu bora upambane ukiwa hapa na usifikirie kwenda Bondeni, Southa Africa.
Kuna jamaa, amepost kwenye ukurasa wake wa kijamii Watanzania wenzetu kadhaa waliopoteza maisha huko South kwa kuuawa.
Sijajua walikuwa wanajishghulisha na kazi gani hawa ndugu zetu, lakini kwa kifupi itoshe kusema South Africa hakufai hata kidogo.
View attachment 2484953
Rudini nyumbani mikutano ya imeruhusiwa.Niko group moja la mabaharia South Africa, kila baada ya siku mbili Kuna post ya rambirambi...